Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Chadema yote ilijua Msigwa atahamia ccm, wamlaumu kwa lipi?Mch. Peter Msigwa katimkia CCM kutoka CHADEMA.
Rai yangu ni kwamba, pande zote mbili zijizuie kurushiana maneno au kulaumiana.
Yaani, Msigwa ajizuie kulaumu chama alichotoka na wafuasi wa CHADEMA wajizuie kumlaumu Msigwa.
Sumaye na Lowassa walikuwa mawaziri wakuu wastaafu lakini walihama CCM wakahamia CHADEMA na maisha yakaendelea. Kwa hiyo mimi sioni kama kuna la pekee sana linalohitaji kulaumiana kati ya hizi pande mbili.