Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
It's stupid to hate a spotted Hyena for feeding on carcasses. It's Hyenas nature.

Somebody doesn't get hated for what he is,or for simply being what he is.​
 
Msigwa asilaumiwe sana,Lissu alisema hela ya rushwa iliyotumika hadi kumng'oa uenyekiti wa kanda ya Nyasa ilitoka kwa Mama Abdul hivyo ameona na yeye aifuate huko huko ilikotoka.
 
Ukifuatilia kesi ya pididy kuna skendo ya kuwa alimrifa yule baba wa family matters kisa shida ya hela. Tunapoelekea ni kubaya sana jamii inaporomoka sana.




 
Kama ni kweli, basi ndio mwisho wangu wa kumuamini mwana siasa wa upinzani bongo.

Hahah sio mwanasiasa wa upinzani...

Usiamini mwanasiasa yeyote, kwa maana wajinga ni chakula ya wanasiasa...
 
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema yeye kuhamia CCM ni kutokana na Uzalendo wake Kwa Nchi na Taifa letu pendwa

Msigwa kasema Taifa letu ni zaidi ya vyama vya siasa na Watanzania wote wanapaswa kuelewa hilo

Credit: Wasafi FM

Mchungaji Mwema huwaambia Kondoo kila Kitu kibaya kijapo πŸ˜€πŸ˜€πŸ”₯
 
Kila la heri yetu macho.
 
kwa ule ubabe na makorokoro ya mbowe,imagine angekuwa rais angefanyaje.
 
Kama taifa ni zaidi ya vyama vya siasa angeacha siasa. Sio kuhama
 

Hawa ndio wanasiasa uchara. Muda mfupi ameshasahau alichokisema. Jana kasema amehama CHADEMA kwa sababu hakuna demokrasia, leo anasema ni kwa sababu ya uzalendo! Kesho atasema kwa sababu ya njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…