Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
 
Katika hili nawapongeza sana Chadema, huyu alikuwa pandikizi. Haiwezekani iwe kahamia ghafla.

Lakini, kwanini washikane mikono kama maharusi? Nimecheka sana.
hivi vyama vyama kisiasa robo tatu ya wanachama wake ni mamluki toka chama tawala ndio maana vijana wa kisasa hawana imani navyo wanaamua kupambana wenyewe bila mrengo wa chama cha siasa kutaka haki na maisha bora kwa wananchi wote. Vyama vya siasa ni magumashi matupu wanazuga wananchi kumbe ni chama kilekile tawala kimejigawanya matawimatawi ionekane kuna vyama vingi kumbe kipo kimoja tu
 
Nitajie mwanaharakati wa haki nmojawapo wa Kitanzania ambaye hana affiliation na political party yoyote
What do you mean by political affiliation? Nachoweza kusema ni kuwa mtu yoyote anaweza kuwa na mambo anayokubaliana nayo kuhusu chama fulani, kwa muda fulani na hili lipo pia kwa Tanzania. All in all, mwanaharakati kuwa na political affiliation na chama cha siasa siyo jambo baya bali jambo jema sana. Infact raia wote tunatakiwa tuwe active kujua siasa za nchi zinaendaje na kuunga mkono chama tunachoamini kitatufaa.
 
Katika hili nawapongeza sana Chadema, huyu alikuwa pandikizi. Haiwezekani iwe kahamia ghafla.

Lakini, kwanini washikane mikono kama maharusi? Nimecheka sana.
Usihamishe magoli Bwashee, Tatizo ni Mbowe. Mbowe atakimbiza wengi kutoka CHADEMA. Kwani Lissu yupo wapi?
 
Jiwe alimtaka mapema anaenda kipindi cha mikopo,kapotea njia
Alishindwa kugundua kuwa CHADEMA ni chama cha kifamilia. Angegundua mapema angeshakuwa mbali sana. Hata Lissu atakuja kujutia sana baadae kupoteza muda wake kwenye chama cha Mbowe.
 
Chadema na mwamba Mbowe nimewakubali kwa intelijensia yao Kali ndani ya chama, uyu bwana tokea alipiwe Ile faini na jiwe alianza kutokueleweka ndani ya chama, matamko yake, mwenendo wake na mambo kibao alibadilika kabisa akuwa yule msigwa tuliyemjua mwanzo, Na kitendo Cha kung'olewa kwenye uwenyekiti wa Kanda alikuwa Cha bahati mbaya chadema walishanusa usaliti wake ivyo walimuondosha kabla ajaleta madhara zaidi, kuhamia ccm nafikiri lilikuwa ni suala la muda tu kwake kufanya ivyo isipokuwa alikuwa anatafuta muda muafaka kumove!
Na nafikiri alikuwa anataka ahame akiwa tiyali keshakuwa mwenyekiti wa Kanda ili iwe habari kubwa zaidi but wajumbe walimuwai kabla ajafanikiwa lengo lake!
 
Nilikuwa nina mpango wa kumchangia lissu hela ya gari, ila hiki kilichotekea kwa msigwa bora hela yangu nikale monde.
 
Back
Top Bottom