Aliyekuwa waziri wa Hamas akiri yale mauaji yalikuwa kosa, yamesababisha Gaza ifutwe

Sasa tuingie kwenye pepo ya ngono na pombe ya kazi gani?,wakristo sisi kwetu mbinguni kwa Jehova kwenye kusifu na kuabudu,nyie endeleeni huko peponi kwenu ambako Allah atakuwepo na atakuwa wa mwisho kuletwa huko.
Umekariri!!....
 

Source "times of Israel" 🤣🤣





 
Islam and arab,s cheap propaganda ili kuukata ukweli..
Nadhani kichapo cha gaza hawakukitegemea kama 1967 na 1973 pale waarabu wa msiri waliomba cease fire na treaty ili Sharon asiiharibu cairo kwa mizinga 🤣🤣🤣
Nenda kawasaidie waisrael wenzako wanalia huko wanasema hatukutegemea Hamasi wako vile, pia wanashangaa kuona silaha zao za ajabu ajabu zinamalizia kila kitu.

We njoo urupikie Ugali tule vita vinataka wanaume.
 
haya subiria nawe upewe uwaziri huko Israel ewe propagandist wa Yahudi.
 
Jamaa ukapimwe akili, nimejaribu kusoma nielewe nini umeandika hapa nikashindwa, mnatia huruma, yaani kama mumechizi vile...poleni lakini.
Kichaa aniambie mwehu 😄 Poleni Israel ananza kulalamika eti hatukutegemea Hamasi kuwa wananguvu vile na bado wataliona Jua Usiku 😄
 
haya subiria nawe upewe uwaziri huko Israel ewe propagandist wa Yahudi.

Wayahudi hawawezi kunipa uwaziri, ni makatili sana wale, hupiga sana wakichokozwa, mpaka sasa kama hilo halijawaingia kwenye akili zenu basi mtakufa sana, chokozeni Wakristo ila temaneni na Wayahudi kwenye mambo yao, oneni sasa Gaza inafutwa hivi hivi tu, na hamna kajamba yeyote anayeweza kufanya kitu, hata kubwa lenu Iran linaangalia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…