Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #61
nadhani dhamira ovu ya Tundu Lisu nchini, ni wazi kuisambaratisha chadema, na kuua upinzani kabisa nchini kwa manufaa ya mabwenyenye ya magharibi yanayombackup ili kujipenyeza kirahisi na kuvuruga amani, umoja na mshikamano wa waTanzania.
Tundu Lisu analenga Kufanya Tanzania kua kama DRC kwa maslahi binafsi na hayo mabwenyenye ya Magharibi yanayombackup. Ameona Taifa likigawanyika atapata fursa ya kujinufaisha kibinafsi,
Hata hivyo,
ameshabainika na kwakweli amechelewa sana na, kama taifa tumedhibiti vizuri nia yake hiyo ovu, na kwakweli hakuna kitu atafanya ndani ya chadema au nje ya chadema 🐒
Hakiwezi kuporomoka hadi levels ya TLP ingawa mi kweli Lissu ataondoka na baadhi ya wanachama.Wakati huo chama kitakuwa kama TLP hata akimuuandaa itasaidia nini?
Wanaharakati wa Tanzania ni maadui wa kwanza wa maendekeo hapa nchini.
Eti kavunja sheria ya wakati 😀😀😀
Hakiwezi kuporomoka hadi levels ya TLP ingawa mi kweli Lissu ataondoka na baadhi ya wanachama.
Katika uchaguzi mkuu wa 2025 kama vyama vyote viwili (CHADEMA na chama kipya cha Lissu) vitashiriki uchaguzi,, CHADEMA itafanya vizuri kuliko chsma cha Lissu).
Hamna kitu kama hicho mkuu.Utajionea Mkuu. Tupo hapa😃
Mpiga dili mkubwa , mpenda rushwa , mchaga mjanja mjanjaKwani amekiuka kipengele gani kwenye katiba?
Tutaipimaje demokrasia kama hamtaki ushindani wa hoja na kura.Mbowe suluhisho lake asingepaswa kuwania, Bali angempitisha mgombea mwingine mshindani wa Lisu, kisha Mbowe ajiunge naye
Muda ni mwalimu mzuri tusubiri kwanza Jan 21 then mengine yatatiririka.Watu hawawezi kubakia chama ambacho wanakiona cha Wachagga.
Utajionea mwenyewe
Hamna kitu kama hicho mkuu.
Nyie mnaojiita wanaharakati ni hatari sana kwa taifa. Yani hampendi amani kabisa, mkiona watu wametulia mnaanza kutafuta namna ya kuingiza fujo ili mradi tu mpate content ya kuwatag amnesty international.
Muda ni mwalimu mzuri tusubiri kwanza Jan 21 then mengine yatatiririka.
Sasa kama HAKI yake ipo kikatiba nini kinafanya mseme hana vigezo?Mimi sijakataa.
Nafikiri kuna pointi yangu IPO mbele Sana hujaifikia ili kuiona.
Pointi ya HAKI yake ya kugombea IPO nyuma Sana, tumeshaipita
Basi waanzishe kisicho na wachaga tuone kitafika wapi.Watu hawawezi kubakia chama ambacho wanakiona cha Wachagga.
Utajionea mwenyewe
Tunakufahamu sana humu, yani mada zako zote ni za kiharakati ndio maana umeona uungane na wanaharakati wenzio kuididimiza demokrasia ya wenye chama chao.Mimi ni mtibeli Mkuu
Basi waanzishe kisicho na wachaga tuone kitafika wapi.
Shida yenu nyie wanaharakati hamuamini katika taasisi imara bali mnaamini katika mtu imara.
Mwisho wa siku mtu imara akiwa corrupt tu taasisi nzima inaathirika.
Tunakufahamu sana humu, yani mada zako zote ni za kiharakati ndio maana umeona uungane na wanaharakati wenzio kuididimiza demokrasia ya wenye chama chao.
Sasa kama HAKI yake ipo kikatiba nini kinafanya mseme hana vigezo?
Hivyo vigezo mmeviangalia katika hali ya mihemko tu wala sio KIKATIBA.
Toa ushahidi, ulizoandika ni hisia na mihemko.Mpiga dili mkubwa , mpenda rushwa , mchaga mjanja mjanja
ampishe mwingine kivipi,Ikiwa Lisu dhamiri yake ni hiyo.
Mbowe suluhisho lake asingepaswa kuwania, Bali angempitisha mgombea mwingine mshindani wa Lisu, kisha Mbowe ajiunge naye
Mtu imara anapimwa kwenye vigezo gani? Kwa hapa taasisi ilipofikia unafikiri ilikosa uongozi imara. Taasisi imara ni ile yenye collective responsibility kwa uongozi mzima na sio kiongozi.Wanaharakati wanataka mtu imara ili aweke Taasisi imara
Taasisi haiwezi kuwa imara kama haina viongozi imara. Upo mzee
Haki ndio inamfanya mwenyekiti wa sasa kuomba ridhaa tena. Maamuzi yako mikononi mwa wajumbe na si wanaharakati.Watibeli wanapigania Mambo manne.
Ukiwa nayo hata wewe tutakuunga Mkono.
HAKI
AKILI
UPENDO
KWELI