Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

Watu had boom tushaanza kupuyangia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

HELSB nn sasa.
 
Nenda makao makuu yao, vetenary kama upo DSM
 
Bado mchakato unaendelea just relax na endelea kupitia account yako mara kwa mara
Kwahiyo kuhusu hivyo vyumba na hizo taarifa hazina effect yoyote maana mwanzo hazikuwepo???? na swali lingine hivi mtu kama alikosea jina (herufi moja) wakati wa kutuma EMS-posta(jina la HESLB form na kule EMS tofauti helufi kidogo ipoje hiyo)kuna uhakika hapo
 
Mi nachojua ..bodi wanaangalia online copy ...hizo hard copy ni Kwa matumizi ya dharula na ziada tu
 
Sidhani mkuu kama kuna effect, as long as jina lililoenda HESLB ndo sahihi, na hivyo vyumba ni kuonesha kuwa verification is done, in short kama umeambiwa wait for further updates basi lazima utapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…