Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

Kupata mkopo hawaangalii kozi wala chuo,

Tuliambiwaga dogo hawezi kupata mkopo kwa masomo yake, na matokeo yake ya six lkn Mungu ni mwema dogo kapata zote kakosa ya research tu, tena kapata round ya kwanza,
Aliweka TASAF document?
 
Hata mim mdogo angu amepewa 500,5000 sijui hapa anabid aongeze bei gan kweny chuo cha NIT coz mechanical engineering
Angalia joining instruction yake kujua gharama za ada kisha lete tukanyie hesabu.
 
Back
Top Bottom