Aliyeporwa "Range" na Makonda alipuka, atangaza kwenda Mahakamani

Tatizo ndio liko hapo. Hao unaodai wauza ng'ada why hawakamatwi, hawashtakiwi? Au kila aliegombana na makonda ni muuza ng'ada
Unadhani kwa nini wauza ngada walipotea na wengine kuhama nchi.? Unaweza ukamshika mtu na usipate ushahidi moja kwa moja ila akawa anahusika kweli. Ila kitendo cha kumuonyesha kuwa anafanya tayari umemuwashia taa nyekundu na taacha ama kukimbia. Na hivyo ndivyo wengi walivyofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…