Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Msilipwe miezi mitatu tuone inakuwaje kwani mnafanya kazi gani nyie.Wafanyakazi wa TZ wengi wenu mnalipwa mishahara ya bure tu.Kuna Halmashauri moja hapa nchini watumishi wanaingia saa 4 asbh wanatoka saa 7 mchana na hakuna mtu anayejali
Mimi naingiaga saa 3 asubuhi natoka saa 7 mpaka 8 mchana...!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kwani unapokea lini salary yako mtumishi? Tafuta financial independence ndugu
Sio lazima wotee tuwe na side hustle.
Wapo watakaotegemea mshahara na maisha yataenda.

Sio lazima wotee tufanye Side hustle.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Inaonekana watu wa serikalini mnadekezwa sana!, mbona sekta binafsi huwa wanacheleweshewa mpaka tar 5 huko wengine ndo wanalipwa!
Unaona kucheleheshewa mshahara ni sahihi wewe ni mwehu
 
Tra wanaajiri angalau certificate, la 7 atafanya kazi gani? Tra ni taasisi smart
Serikalini kuajiriwa ni kuanzia form 4
Na TRA ni Taasisi ya serikali
Hufata njia ileile ya serikali.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Shida yako wewe unataka kulinganisha JW na taasisi zingine za kiserikali ambazo zinalipa vizuri ila mimi nimekuja hapa kuku-prove wrong bandiko lako na mishahara ya ya JW na sijui umeitoa wapi hiyo ndo hoja yangu sasa ukija hapa nakuniletea Habari sijui za BOT na mambo mengine me sijui.

Na shida nyingeni ni kwamba we una wa-underrate hao jamaa ndo shida yako kubwa eti kisa una kunywa nao, mzee Kuna mapoti wapo vizuri kinoma financially ila husemi na Kuna taasisi hizo hizo wanalipwa pesa nzuri lakini nao pia ni chapa vumbi ko matumizi ya mtu ni utashi wake tu.

Namalizia ntafutie darasa la saba kwenye hizo taasisi anaelipwa kama pte darasa la saba hapa!
 
Mkuu una uhakika?
Ndio ...
1. Best friend yupo huko
2. One of my love yupo huko
3. Kuna pisi naipiga Tunduma ipo huko
4. .....
1. Mshahara 900k na kitu
2. Wanapewa house allowance
3. Wanapewa hela ya kazi 150k

Makato yao ni afya na kodi tu
Hawana chama.

Ukitoa makato wanaondoka na Mil 1.something

SUTI ZAO ZINAKUTISHA??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Form iv na awe na ujuzi like driving nk
Sio lazima ujuzi.

1. Kuna walinzi ambao huajiriwa na taasisi direct (huyu awe amepita tu JKT au Mgambo)
JKT au Mgambo ni UJUZI??

2. Sisi kwetu baada ya kumaliza ghorofa la ofisi tumeajiri form 4 kwa kazi za usafi, Cheti cha form ndio kilikuwa kigezo.
Usafi nao UNA UJUZI??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Walipewa toka tarehe 19 wastaafu ndio mpaka Leo hawajapewa mkuu ila wamekosea sana kufanya huu ubaguzi wao aisee
 
Mchana nimesema kazi yenu kukosoa,SSH ni msikivu kesho saa 12 asubui watumishi angalieni account zenu,mama hadi 2035 hana pingamizi
Huyu Maza sijawahi kumuelewa kabisaaaa.
Wanawake kwenye uraisi HAPANA KWA KWELI

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…