Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Nimekuambia taja unazunguka ,hapo imewekwa entey level ..Kijana taja acha mkwara ,ham hizo pesa hata maendeleo binafsi hamna ...
 
Wasikudanganye "Majengo yanajengwa" "Ma V8 yananunuliwa" na ""Biashara zinakuwa" KWA HELA YA WIZI.

Watu hawachagui ofisi kimshahara, raia tunaangalia EXTRA BAADA YA MSHAHARA.

Maisha sio MSHAHARA

Maisha ni MADILI.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Acha kuongea usichokijua, kuna watu wanalipwa per diem hadi wanajenga migorofa
 
Acha kuongea usichokijua, kuna watu wanalipwa per diem hadi wanajenga migorofa
Hakuna HAIPO
Kila mtu serikalini ni mwizi.

Asiye mwizi basi jua HAJAPATA NAFASI YA KUKOMBA.

Hela haziibiwa kifala, watu wanatunga activities na madili kibao.

Mbele ya hela ya umma HAKUNA MKAMILIFU.

Hata wewe ukipata nafasi PITA NAZO.

Maana ukistafu huna kitu TUTAKUONA FALA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Taasisi zenye watu smart ni rahisi ila hizi zetu hamna kitu...Hamna kitu utapata mwaka mzima unasugua viti bila ya training wala safari.
 
Kwani hapa tumeongea , au jeshini wote mnaanza na million ?

Na taasisi zipo nyingi mbona ,nyie hamseni ,tajeni .
Mimi sizijui hizo taasisi za serikali zinazolipa 4m entry level, ndio maana nimeomba unitajie maana Wewe ndio umesema zipo, lakini naona hadi sasa unazunguruka tu
 
Wewe umeiba ngapi
 
Mimi sizijui hizo taasisi za serikali zinazolipa 4m entry level, ndio maana nimeomba unitajie maana Wewe ndio umesema zipo, lakini naona hadi sasa unazunguruka tu
Taja ya jeshini ? Nami nikutajie
 
Ugumu wake ni nini?

Hao maafisa wotee wa TRA nchini wana Anything special??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mbona wewe ulikuwa unalalamika mishahara ya halmashauri ni midogo? Kwanini usingeenda TRA kama kupata huko ni rahisi na umesoma fani za uchumi/fedha?
 
Waambie hao, na heshima juu, we uliwahi ona wapi makamanda wanafokewa na wanasiasa kwenye media, ila wewe hata uwe kamishna mkuu wa TRA au TPA unafokewa tu.
Makamanda hawako huru kama unavyofikiria kwa protocol za jeshi ni lazima wawe na respect ,wana mpaka mahakama zao za kisheria .

Kama ukitaka kujua wanafokea ,ngoja ifike vita hao wanatii vita kama maroboti hamna wa kupinga.
 
Waambie hao, na heshima juu, we uliwahi ona wapi makamanda wanafokewa na wanasiasa kwenye media, ila wewe hata uwe kamishna mkuu wa TRA au TPA unafokewa tu.
Anafokewa lakini he is paid millions of money, ukamanda bila hela sio issue, unaweza ukawa hufokewi lakini ukawa huna hela kulinganisha na anagefokewa.
 
Na huyo uliyemjibu hajui anachoandika hakuna ofisa wa tra la 7, ili uitwe ofisa ni lazima uwe na degree
Kwanza angeuliza standard zao ni zip ,TRA wana standard zao na hao wanajeshi wanazo ...
 
Kwao huko hata form vi anaweza kuwa ofisa
Hapana ,kwa sababu ya mishahara yao ila walikuwepo hata bandari wapo maafisa wa zamani ...Ila Taasisi bora ni hizi za miaka ya karibuni wana scale nzuri kwa sababu hata elimu hawana mabaki ya darasa la saba na form four... Taasisi za kizamani ukianzia hapo TRA,TPA bado zina mabaki ya form four na la saba ,wengi ni wazee na wengine walijiendeleza.
 
Huyo kakosa nafasi ya jeshi, roho inamuuma ndomaana anawaonea wivu na kuwachukia.
 
Na wale wanao wachukua form vi kwenda kusomea uafisa ni wa mwaka gani?
Huwezi kusema kuwa ni form iv wakati mtu kashajiendeleza tayari let say ana degree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…