Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
Kuna njia nyingi sanaa za kuiba.Taasisi zenye watu smart ni rahisi ila hizi zetu hamna kitu...Hamna kitu utapata mwaka mzima unasugua viti bila ya training wala safari.
Hujajibu swali ""Wana anything special??""Mbona wewe ulikuwa unalalamika mishahara ya halmashauri ni midogo? Kwanini usingeenda TRA kama kupata huko ni rahisi na umesoma fani za uchumi/fedha?
Serikalini afisa ni mwenye degree haijalishi yupo TRA mpaka TRZ.Na huyo uliyemjibu hajui anachoandika hakuna ofisa wa tra la 7, ili uitwe ofisa ni lazima uwe na degree
YeahSerikalini afisa ni mwenye degree haijalishi yupo TRA mpaka TRZ.
Officer II huyu ni BACHELOR.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Interview ya tra huwa ni balaa, ndio interview inayoongoza Tanzania hii kwa kuwa na watu wengi.Kwanza angeuliza standard zao ni zip ,TRA wana standard zao na hao wanajeshi wanazo ...
Kila mtu ana umuhimu pale alipo.Tukupe bunduki uende kupigana na M23? Hapo ndo utajua majukumu mengine ni magumu na baadhi ya wafanyakazi wanahitaji favour kwasababu ya asili ya majukumu yao.
Kupasua ubongo kunakuletea risk ya kufa?Na Madaktari wa mishipa ya fahamu na ubongo wasemeje?
Unamdanganya nani?Acha kulalamika haya tayari
Madaktari walivuogoma 2012, waliamriwa Madaktari wanajeshi wakatibu muhimbili, jeshi lina kila taaluma.Kila mtu ana umuhimu pale alipo.
Madaktari wakigoma nani atatibu?
Walimu wakigoma nani atafundisha?
Kila mtu ana umuhimu wake.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Risk kwa anayefanyiwa, knowledge, skills zinazotumika kufanya hiyo operation utalinganisha na knowledge ya kupigana kwenye m23? Wenzio wamesoma hadi wamekuwa super specialist, wewe uliamua kusima hadi form iv,Kupasua ubongo kunakuletea risk ya kufa?
Muhimbili ndio kituo cha taaluma ya Afya Tanzania, kuna mpaka maprofesa na PhD za medicine nyingi sana,Madaktari walivuogoma 2012, waliamriwa Madaktari wanajeshi wakatibu muhimbili, jeshi lina kila taaluma.
Jibu kimantiki basi bro,Madaktari walivuogoma 2012, waliamriwa Madaktari wanajeshi wakatibu muhimbili, jeshi lina kila taaluma.
Kuna njia nyingi sanaa za kuiba.
Na ukiona huna nafasi ya kuiba basi wewe sio mkongwe.
Subiri ufike miaka 5 - 10 njia zinafunguka zenyewe na madili yanakufata maana wanakuona mkongwe.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Paragraph yako ya pili nimekuelewa ' Wana Madaktari wa Ki-cover hospital zote Tanzania'Jibu kimantiki basi bro,
Kilichotokea unakikumbuka kweli?
Wana madaktari wa ku-cover hospital zotee TZ??
Humu ndani tunabishana.
Naomba nikupe ushindi.
USIKU MWEMA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kijana mi unanifahamu vizuri? Unasema nimesoma hadi form four dah. Sasa nani ana risk ya kufa kati ya hao wawili? Neurosurgeon na mpiganaji?Risk kwa anayefanyiwa, knowledge, skills zinazotumika kufanya hiyo operation utalinganisha na knowledge ya kupigana kwenye m23? Wenzio wamesoma hadi wamekuwa super specialist, wewe uliamua kusima hadi form iv,
We jamaa ni muongo billion 10 ...bajeti za wizara iwe bajet ya mishahara ya hao jamaa kwann wanajeshi wa tz mnapenda kujipaishaHuyu siku akiona salary slip ya cheo cha Mageneral yani Brig Gnr, mj Gnr na kuendelea mpaka Gnr mwenyewe atashanga sana hizo allowance wanazopata, nasema hivyo sababu amejijengea kichwani mwake kwamba Gnr anakula mil3.
Ngoja nimpe kitu kidogo kuanzia cheo Brig mpaka Gnr kwa mwaka wana budget ya zaidi ya 10bil kulipwa tu allowance ya uGeneral yani Brigedia General ,Meja General ,Luteni General na General mwenyewe. Yani hako General ka mwisho wenzako wanalipwa tena vizuri na fanya tafiti bongo hii wapo wangapi kwa vyeo hivyo yani ni wa kuhesabu sana na achana sijui kupewa Gari na serikali na n.k
Lengo langu lilikuwa sio hili👆👆👆 ila lengo lilikuwa ni kukuonesha makosa yako kwenye mishahara ya jamaa
Wewe unaweza kufikia skills za neurosurgeon? Taaluma nyeti kuliko zote ni Udaktari, kwa hiyo risk ya kumponya mgonjwa haipo sio? Nenda kaongeze elimuKijana mi unanifahamu vizuri? Unasema nimesoma hadi form four dah. Sasa nani ana risk ya kufa kati ya hao wawili? Neurosurgeon na mpiganaji?
Elimu ninayo, pia daktari ungekuwa ni taaluma nyeti, ungekuwa na mishahara mikubwa, badala yake take home ya mwenye degree hata milioni moja haifiki, njaa tupu.Wewe unaweza kufikia skills za neurosurgeon? Taaluma nyeti kuliko zote ni Udaktari, kwa hiyo risk ya kumponya mgonjwa haipo sio? Nenda kaongeze elimu
Itategemea ni daktari wa wapi, wa NIMR ana HeLa kubwaE
Elimu ninayo, pia daktari ungekuwa ni taaluma nyeti, ungekuwa na mishahara mikubwa, badala yake take home ya mwenye degree hata milioni moja haifiki, njaa tupu.
unajua marubani wanalipwa milioni nane kwa mwezi?
Kitu kunacholindwa kwa nguvu zote ni ikulu, hizo ndo idara nyeti, siyo taaluma.