Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Kwanza angeuliza standard zao ni zip ,TRA wana standard zao na hao wanajeshi wanazo ...
Hakuna mtu ambae hajui kwamba huko Tra darasa hawapo ila nilichotaka kumaanisha ni kuwa kwa standard ya elimu ya bongo darasa la saba ndio elimu duni na ya chini kabisa lakini huyo huyo wa la saba hapo halmashauri kwenu kuna watu wana diploma na bachelor ya hovyo amewapiga gape tena vizuri tu akikusanya marupurupu yake na pia hata huko Tra mnapopasifia
 
Sasa huko TRA form six leaver analipwaje?
Hawaii Kuja hapa atakwambia ooh kwetu huku hakuna form six leaver ila sasa huyo form six leaver hata yeye tu hapo yupo halmashauri hamkuti hata kidogo
 
Taasisi sio TRA , na pia nikuambie jambo Taasis nzuri ni zile hazina miaka mingi sokoni ...Hiyo mishahara ni siri yenu ila tunajua kila kitu hamna hivyo mnavyotisha watu , kama unabisha basi wanajeshi wanaongoza kwa kununua pikipiki huku mitaani ...
 
Hawaii Kuja hapa atakwambia ooh kwetu huku hakuna form six leaver ila sasa huyo form six leaver hata yeye tu hapo yupo halmashauri hamkuti hata kidogo
Kwas standzard za mwaka upi ?Graduates wako wengi , wachukue form six leaver wa nn ? Wapo walioingia zamani ila sio entry za sasa .. unaongelea mishahara ya kutisha kwa wachache , Mia kwa mmoja , elfu kwa mmoja ...Madogo wanaongia hao wape miaka 3 , halfu uje na wewe unayekaa kambini miaka 5 ...
 
Taasisi sio TRA , na pia nikuambie jambo Taasis nzuri ni zile hazina miaka mingi sokoni ...Hiyo mishahara ni siri yenu ila tunajua kila kitu hamna hivyo mnavyotisha watu , kama unabisha basi wanajeshi wanaongoza kwa kununua pikipiki huku mitaani ...
Hahah kwamba kununua pikipiki ndo umaskini, matu maarufu wanapikiki na wana hela vizuri tu swala la luxuries ni la mtu binafsi ko usiingilie maamuzi ya mtu
 
Hahaha huna hoja wewe eti niwape miaka mi3! Hiyo mi3 ya nini wakati tunaongelea wakati wanaingia sasa hiyo mi nini sasa
 
Hahah kwamba kununua pikipiki ndo umaskini, matu maarufu wanapikiki na wana hela vizuri tu swala la luxuries ni la mtu binafsi ko usiingilie maamuzi ya mtu
Kama hamsemi basi kaa kwa kutulia , mimi nilelewa na pesa za jeshini so tena na makamba mkubwa wa section ya mzinga
 
Siwezi nkataja sababu lengo lilikuwa nikusahihisha mishahara maana ulikuwa umeandika uongo mtupuu baasi sasa hayo ya kutaja mishahara mimi sipo huko!
Si utaje ...Kama mnaaza 2.5 mil kwa darasa la saba ..Kiufupi hamna maendeleo ya kutisha na huo ni ukweli.
 
Huyo ni mganga njaa wa tamisenga, mshahara 765K, take home 600K na vichenchi.
Nyambafu 3m ni kama dollar 1400, afu unapyuka,,huu ni mshahara mdogo kabisa,yaani njaa kbsa
 
Si utaje ...Kama mnaaza 2.5 mil kwa darasa la saba ..Kiufupi hamna maendeleo ya kutisha na huo ni ukweli.
Mbona umekomaa nitaje mzee hebu taja na wewe wa kwako basi hapo halmashauri hahaha kama ni raha
 
Kwani mshahara ukilipwa wati hawapati meseji? Mtu anafunga safari kwenda kwa wakala/benki kuona kama mshahara umeingia?
Anaishi zama za ujima kama babu yake nahuku kuna nmb app
 
Sasa na huyo kamanda inategemea ana cheo gani, vyeo vya juu wana mpunga mrefu. Sasa unafikiri kupata kazi NIMR ni rahisi? Daktari tamisenga na take home yako ya 897K, unazidiwa parefu sana na kamanda aliye darasa la saba, ukikutana na kamanda mwenye degree kama wewe wa cheo cha kawaida tu, anamzidi hadi specialist wako, sasa hapo nani wa maana? Ungekuwa wewe Daktari ndo wa maana, taifa si lingekuwekea mishahara mikubwa?
Itategemea ni daktari wa wapi, wa NIMR ana HeLa kubwa
 
Sio madaktari wote wapo tamisemi, nimemupa mfano wa NIMR, kuna madaktari wako WCF, Shirika la elimu kibaha, Agakhan, NGOS, pia wanalipwa vizuri, na kwenye ngazi ya tamisemi madaktari ndio wanalipwa scale kubwa kuliko kada zote,
-Daktari ni mtu wa maana kabisa kuliko taaluma yoyote ile regardless, kusomea u daktari sio mchezo ndio maana wewe ulishindwa kutokana na Ufaulu hafifu au uoga.
- Ukishakuwa specialist doctor unakuwa na hospital nyingi za kutibu hata kama uko tamisemi wanatibu more than even three hospitals, usijilinganishe nae mwenzio sio kama hao wengine wanasubiri mshahahara mmoja
 
Acha kuongea vitu usivyovijua, unaujua ufaulu wangu? Rubani ndege ya serikali analipwa milioni nane, ndege za mashirika ya kimataifa wanalipwa 15mil kwa mwezi, wewe na udaktari wako unalipwa 897K, unafikiri nani wa maana?

Rubani anaendesha matajiri, wewe unatibu masikini wenzio ndomaana huzingatiwi. Ungekuwa wa maana system ingekuwekea mishahara mikubwa, ndomaana viongozi wa chama wana ubavu wa kukufokea huko tamisenga kwako coz ndo wengi mmeajiriwa huko kuliko huko NIMR unakosema.

Tuambie umekutana na diagnosis gani iliyokuchanganya kichwa, au mkurugenzi wenu hajawalipa viextraduty vyenu vya elfu 60?

Umetumia nguvu nyingi miaka 6 then bado ni masikini wa kunuka, unazidiwa hela na waliosomea fani za kawaida, wapo kwenye balozi za nchi kubwa wanakula maisha, wengine wanazunguka na Rais wa nchi kila mahali, wewe umekomaa porini kwa take home isiyofika 900K, pole sana. Kuna wengine wameishia form four walifeli mkswacheka, now wanamiliki biashara kubwa hata ukisoma hiyo superspecialty ya neurosurgery huwafikii, ndomaana una makasiriko ya umasikini.
 
K
Kwanza urubani hawezi kusoma mtu mwenye njaa njaa kama wewe, kama ada ya udaktari ya 1.8mil kwa vyuo vya umma ilimshinda baba yako hadi ukaomba mkopo HESLB, ada ya urubani ya milioni 70 kwa mwaka kwa miaka 3-4 afu living costs zote unajitegemea bila msaada wa hata senti ya HESLB na unaishi South Africa (by that time hakukuwa na chuo cha urubani TZ), je ungeweza hayo maisha?

Hapa duniani kinachoheshimiwa ni hela kijana, ukikomaa na miudaktari yako afu una njaa, hata form four failures watakuona mpumbavu tu.
 
  • Ufaulu wako ungekuwa mkubwa au ungekuwa na akili usingetukana madaktari
  • Taaluma ya u daktari ndio taaluma nyeti kuliko zote, no matter what, Afya ndio msingi wa kila kitu hata rubani hawezi kuendesha ndege kama Afya sio nzuri.
-Kama unasema daktari anatibu masikini basi na wewe umo ndani ya hao masikini kwa sababu watoa tiba ni madaktari na taaluma zinazofanana na hiyo (sayansi shirikishi), kwa hiyo matajiri wakiumwa wanatibiwa na nani? hoja yako hii inaonekana ya kiwango cha chini na wewe pia ni wa kiwango cha chini kielimu, kiufahamu na kiakili.
- Hao wanaozunguka na Rais kila nchi ni wangapi? na wewe umo? Kwa hiyo wenye pesa ni wanaozunguka na Rais tu si ndio? na wenye pesa ni walioko kwenye balozi tu? Madaktari wapo waliokuwa kwenye vitengo vyenye pesa na wako wasiokuwa kwenye vitengo vyenye pesa pia, kadhalika hizo taaluma nyingine wako walioko kwenye vitengo vyenye pesa na wako ambao hawapo kwenye vitengo vyenye pesa, hii pia inaonesha kuwa wewe ni wa kiwango cha chini kielimu, kiakili na kiufahamu na pia huna exposure.
-Kama madaktari wengi wapo tamisemi inamaanisha kila unaeonana nae ni daktari wa tamisemi si ndio?
- unasema kuna wengine walifeli form four tukawacheka kwani nani alikwambia usisome kwa bidii ukafaulu vizuri?
-kwa hiyo unaamini kila daktari ni masikini si ndio kama wewe ulivyokuwa masikini wa akili?
-
 
  • wewe ni Rubani?
  • Unajua maana ya division of labour?
-kwa hiyo kwa akili yako ndogo unadhani Mimi ni daktari si ndio?
- Unajua hili jina langu ndio Linasadifu taaluma yangu? Land surveyor
 
Umuhimu unaozungumzia ni kwenye kazi, mimi nazungumzia kwenye pesa kijana wacha kuchanganya mambo, kwanza kwa taarifa yako, wenye pesa walio wengi hawajaajiriwa, tena wengine hawana taaluma, miongoni mwa mwajiriwa anayelipwa vizuri ni rubani, wengine walio wengi ni njaa njaa tu kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…