Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

  • wewe ni Rubani?
  • Unajua maana ya division of labour?
-kwa hiyo kwa akili yako ndogo unadhani Mimi ni daktari si ndio?
- Unajua hili jina langu ndio Linasadifu taaluma yangu? Land surveyor
Kumbe ulikosa maksi za kusomea udaktari, pole.
 
Umeishia la ngapi?
-wewe ni Rubani?
 
Hizo pesa tajeni ...Mikwara ming na maendeleo hayaonekani mpakq zile pikipipi zimekuwa kama sare zenu.
 
Kjn hao wa pikipiki unakutanaga nao wapi? Nina wasi wasi na circle uliyonayo 😀
 
Hamjawahi kunitisha wala kuwa kwenye mawazo yangu ;kaka yangu ana miaka 50's na kitu ni mkubwa huko ... Maendeleo nilifanya miaka 3 yeye hafiki hata nusu ...Miaka mitano alikuwa kambini.🤣
 
Mbona hujiamini?
Hao jamaa mikwara tushawazoa hata wanajeshi wnaaokula hizo pesa sio mchezo ... Protocol za kijeshi sio rahisi ...Tafute mwanajeshi anayeanza kwa degree then mchukue wa ple TRA ..kqma unavyojua TRA hawafiki mil 3,wape miaka mitatu au minne uje kuangalia nan kafika mbali?🤣🤣

Ushawahi kusikia hili ghorofa la kijana wa Jeshini ana miaka mitano kazini tu 🤣🤣njoo hao TRA wana mijengo huko
 
Hamjawahi kunitisha wala kuwa kwenye mawazo yangu ;kaka yangu ana miaka 50's na kitu ni mkubwa huko ... Maendeleo nilifanya miaka 3 yeye hafiki hata nusu ...Miaka mitano alikuwa kambini.🤣
Kufungiwa miaka mitano kambini ni vyeo vya chini, afisa hafungiwi, pia maendeleo inategemea na nidhamu ya mtu ya matumizi ya fedha.
 
Of course maofisa wa tra wako mbele, ndio wengi wao wanashusha magorofa, labda kwa kuwa tra kuna mihela ya salary na miposho na magumashi
 
Huko kuna wizi kjn, ukiangalia mishahara siyo mikubwa kumiliki ghorofa, mshahahara wa milioni tatu siyo pesa ya kumiliki ghorofa huo ni wizi kijana.
 
Muache maana wanapenda sifa sana🤣🤣ukweli uko wazi kabisa ...Kimaisha sijawahi kuona maendeleo yao kabisa.
 
Huko kuna wizi kjn, ukiangalia mishahara siyo mikubwa kumiliki ghorofa, mshahahara wa milioni tatu siyo pesa ya kumiliki ghorofa huo ni wizi kijana.
🤣🤣Jomba nan anataka kuzeeka ,Yule Jk kuna mwanae huko jwtz na alikuwa huko miaka mingi ..Analijia jeshi mwanzo mwisho.
 
Hizo pesa tajeni ...Mikwara ming na maendeleo hayaonekani mpakq zile pikipipi zimekuwa kama sare zenu.
Sasa wewe upon hapo halmashauri umtingishe nani umezidiwa mshahara na masoja halafu unapata wapi ujasiri wa kuhoji starehe zao.

Mkaguzi Mkuu wa serikali( CAG) aliyepita alikuwa anatumia Toyota IST na yeye utasema alikuwa hana hela sio na ndio maana nimekwambia vitu vya luxury ni jinsi mtu mwenyewe anavyoona yeye, pte wa JW kununua sijui vanguard sijui harrier hashindwi lakini kila mtu vipaumbele vyake ko kaa kwa kutulia hapo halmashauri
 
Hamjawahi kunitisha wala kuwa kwenye mawazo yangu ;kaka yangu ana miaka 50's na kitu ni mkubwa huko ... Maendeleo nilifanya miaka 3 yeye hafiki hata nusu ...Miaka mitano alikuwa kambini.🤣
Basi kaka ako ni fala mmoja tu kama wewe kwa akili hizo ulimpita kimaendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…