Hajui lolote, hata huyo luteni anayemtaja taja utakuta hajui hata anafanaje.Huyo jamaa unabishana nae nini wakati kwenye majeshi ni mtupu kabisa hajui anachokijua sasa hata hapo tu ukimuuliza nini maana ya section hajui achana nae mzee huyo anakupotezea mda!
Kwahiyo we ndo unaijua account yangu kuliko mimi?😀😀😀 mzigo ushaisha bwashee, kuna kazi huwa hawachukui hata salary kwa sababu ya vikao, na safari, sitting allowance ya kikao kimoja ni 250,000/- kwa mwezi vikao vitano, per diem akisafiri 5 days(wastani wao hauzidi 10 days per month)ni 1,200,000/- [ on transit 100,000 kwa 100,000] akijumlisha ana 2.2m, salary take home 1.9m, extra duty yake 700,000/-, posho ya incentive 850,000/-, Mafuta allowance 400,000/- huyu kweli salary hawachukui, ni kwenye shirika la Umma moja hivi
Kwa sababu vipato vyenu sio vikubwa vya kutisha, vilivyojaa mikopo, na hakuna madili ya magumashi kama traffic, ukiniambia traffic hachukui mshahara naweza kuaminiKwahiyo we ndo unaijua account yangu kuliko mimi?
Wewe mjinga sana ,umeambiwa vyeo vya juu ni General ,wako wengi ...Wewe form four acha kelele ,section za nn tena ..Nikikuambia huku vyeo vya juu ya Ukurugenzi unaelewa : kuna mkurugenzi mkuu , mkurugenzi wa fedha , mkurugenzi maadili ,wapo wengi unaelewa nn ...Hii ni tatizo kuleta ujuaji ,section si zenu za ndani ?Huyo jamaa unabishana nae nini wakati kwenye majeshi ni mtupu kabisa hajui anachokijua sasa hata hapo tu ukimuuliza nini maana ya section hajui achana nae mzee huyo anakupotezea mda!
Kiufupi hamna kipya unalia chooni ,watu wanashika pakubwa , maendeleo yenu ya kudema dema 🤣🤣🤣angalia madogo hao wa TRA uone baada ya miaka mitatu na wewe hapo ...Kwahiyo we ndo unaijua account yangu kuliko mimi?
Sasa huu ni utoto mnafanya hivi unawezaje kumkadiria mtu ambae humjui au ndo ubishi wenyewe na una uhakika gani huyu mtu ni anategemea mshahara peke ake na tulishawaambia hapa tokea mwanzo kuwa matumizi ya mtu ni utashi wa mtu sasa kwa nini mu mlazimishe kuwa kashatumia mshahara, achani kukariri😀😀😀 mzigo ushaisha bwashee, kuna kazi huwa hawachukui hata salary kwa sababu ya vikao, na safari, sitting allowance ya kikao kimoja ni 250,000/- kwa mwezi vikao vitano, per diem akisafiri 5 days(wastani wao hauzidi 10 days per month)ni 1,200,000/- [ on transit 100,000 kwa 100,000] akijumlisha ana 2.2m, salary take home 1.9m, extra duty yake 700,000/-, posho ya incentive 850,000/-, Mafuta allowance 400,000/- huyu kweli salary hawachukui, ni kwenye shirika la Umma moja hivi
Wewe mjinga sana ,umeambiwa vyeo vya juu ni General ,wako wengi ...Wewe form four acha kelele ,section za nn tena ..Nikikuambia huku vyeo vya juu ya Ukurugenzi unaelewa : kuna mkurugenzi mkuu , mkurugenzi wa fedha , mkurugenzi maadili ,wapo wengi unaelewa nn ...Hii ni tatizo kuleta ujuaji ,section si zenu za ndani ?
Ukweli ni huo hamna cha maana acheni ushamba za kizamani ...Watu wanapiga pesa n
Niliacha kubishana na wewe sabubu niliona una kaujinga na Kuna ka ugumu kuelewa ndani yako haya narudi kwa mara nyingne labda term hii utakuwa mwelewa.Wewe mjinga sana ,umeambiwa vyeo vya juu ni General ,wako wengi ...Wewe form four acha kelele ,section za nn tena ..Nikikuambia huku vyeo vya juu ya Ukurugenzi unaelewa : kuna mkurugenzi mkuu , mkurugenzi wa fedha , mkurugenzi maadili ,wapo wengi unaelewa nn ...Hii ni tatizo kuleta ujuaji ,section si zenu za ndani ?
Ukweli ni huo hamna cha maana acheni ushamba za kizamani ...Watu wanapiga pesa huko kwingine.
Ile mishahara imeandikwa online ,sasa ili wewe upate hoja yako fanya kuprove ile mishahara sio ya kweli kwa kuonesha..Niliacha kubishana na wewe sabubu niliona una kaujinga na Kuna ka ugumu kuelewa ndani yako haya narudi kwa mara nyingne labda term hii utakuwa mwelewa.
Haya emu twende polepole unakumbuka kilichonifanya mpaka nkakujibu mwanzo kabisa ilikuwa ni wewe kupotosha kuhusu mishahara hii ndo sababu kuu na hii nilikuwa narudia kukusisitizia mara kwa mara lakini unajifanya kama huoni unavyokuja kubadili Gia angani na kuanza eti ooh sijui wanazidiwa na taasisi zingine sijui hakuna alyekataa na hili pia nilikuwa nakusisitizia sababu ndio kuna watu wanakula parefu lakini hii sio sababu ya wewe kupotosha halafu ukiambiwa umepotosha unakomaa ooh wanazidiwa sasa hayo ya wanazidiwa yametoka wapi??
Heshimu kazi za watu wewe jamaa
Cycle inayoishi nayo huko nj ya ajabu ndo inakupotosha, pia mitandao nayo inakupotoshaKiufupi hamna kipya unalia chooni ,watu wanashika pakubwa , maendeleo yenu ya kudema dema 🤣🤣🤣angalia madogo hao wa TRA uone baada ya miaka mitatu na wewe hapo ...
Sasa sijaishiwa kwa taarifa yako acha ujiaji kwa watu usiowajuaKwa sababu vipato vyenu sio vikubwa vya kutisha, vilivyojaa mikopo, na hakuna madili ya magumashi kama traffic, ukiniambia traffic hachukui mshahara naweza kuamini
🤣🤣Naona unalia ...Wapi bhana hawa maofisa ukute ana ghorofa si uongo huo..🤣🤣Umeona kule Mbezi wale madogo wa TRA.Cycle inayoishi nayo huko nj ya ajabu ndo inakupotosha, pia mitandao nayo inakupotosha
🤣🤣Oya tulia mwanangu upewa makavu live ,hamkawii kumpiga mtu ..Ila kama tunawakosea tunaomba msamaha.Sasa sijaishiwa kwa taarifa yako acha ujiaji kwa watu usiowajua
Endelea na cycle ya boda boda uliyonayo. Lakini hiyo sekta ni miongoni mwa sekta vinazolipa vizuri hata kama zipo sekta zinazoizidi, siyo choka mbaya kama unavyojiaminisha, sasa ukiwasema ni choka mbaya, watu wa tamisenga utasemaje?🤣🤣Naona unalia ...Wapi uende bhana hawa maofisa ukute ana ghorofa si uongo huo..🤣🤣Umeona kule Mbezi wale madogo wa TRA.
Hakuna mambo kama hayo sikuhizi watu wana pesa hawana stress za ajabu ajabu za mpaka kuleta fujo kama ilivyokuwa zamani.🤣🤣Oya tulia mwanangu upewa makavu live ,hamkawii kumpiga mtu ..Ila kama tunawakosea tunaomba msamaha.
🤣🤣Mikwara acha hizo ..Basi kwenye maendeleo hamna uwezo ,tunaishi na nyinyi huku ,wazee wa mikopo nafuu tangu mwaka 2010.Hakuna mambo kama hayo sikuhizi watu wana pesa hawana stress za ajabu ajabu za mpaka kuleta fujo kama ilivyokuwa zamani.
Unaoishi nao watakuwa na matatizo🤣🤣Mikwara acha hizo ..Basi kwenye maendeleo hamna uwezo ,tunaishi na nyinyi huku ,wazee wa mikopo nafuu tangu mwaka 2010.
Kwa hiyo wewe ulivyoona imeandikwa mtandaoni ndo ukajibebea na Kuja kutaka kuwalisha watu matango pori acha hizo mzeeIle mishahara imeandikwa online ,sasa ili wewe upate hoja yako fanya kuprove ile mishahara sio ya kweli kwa kuonesha..
Mimi na wewe nani anadharau wengine ,angalia nan alianza kuquote mwenzio ,kuwa na akili kujifanya special sio tabia za kiume ..Malipo ni haya ,kwani mnaishi mbinguni ? Huku mitaani tunawaheshimu ila hamjiheshimu.
Hakuna mtu anakudharau ila ukiwa kichwa maji lazima heshima ishuke ..Nimekuuleza kweny Taasisi naona unaruka ruka ..Kama unajikuta special basi hauna cha maana cha kutisha watu na pia kausha kama hauwezi kutaja ...
Wewe una kipi?Unaoishi nao watakuwa na matatizo
Wewe si utaje ? Waone kama ni matango pori..Taja uprove!Kwa hiyo wewe ulivyoona imeandikwa mtandaoni ndo ukajibebea na Kuja kutaka kuwalisha watu matango pori acha hizo mzee
Ngoja nikiulize kitu, huko TRA wanaajiri watu wa darasa la saba na wa kidato cha nne?Wewe una kipi?