Jibu hoja kjn usiattack mtu personallyWewe una kipi?
Nacheka sana , nimekuambia TRA afisa (Degree) na wewe jeshi afisa(degree) kwani haupati posho ya degree pale au hujui ?Ngoja nikiulize kitu, huko TRA wanaajiri watu wa darasa la saba na wa kidato cha nne?
Mbona unambwela na iko wazi degree ya TRA na wewe degree au umeishia darasa la saba? 😀Jibu hoja kjn usiattack mtu personally
Jibu swali wacha kukwepa, wanaajiri darasa la saba na kidato cha nne?Nacheka sana , nimekuambia TRA afisa (Degree) na wewe jeshi afisa(degree) kwani haupati posho ya degree pale au hujui ?
Jibu swali usikwepeMbona unambwela na iko wazi degree ya TRA na wewe degree au umeishia darasa la saba? 😀
Mbona hamna swali hapo kwa hujui viwango vya TRA , usije kupewa jibu ukakimbia ....Level ya elimu ya TRA na Taasisi sio swa na nyie usijifananishe , wale ni full professionals wanatumia akili.Jibu swali wacha kukwepa, wanaajiri darasa la saba na kidato cha nne?
Kwa hiyo afisa wa Degree kwenu sawa na darasa la saba ? kumfananisha darasa ili aende TRA ni kuikosea heshima mamlaka husika.Jibu swali usikwepe
Bado hujajibu swali, Kwahiyo TRA inaajiri digrii pekeyake?Kwa hiyo afisa wa Degree kwenu sawa na darasa la saba ? kumfananisha darasa ili aende TRA ni kuikosea heshima mamlaka husika.
Bado unaruka ruka tu hujibu swali, hata mtoto wa primary angejibu kama lilivyoulizwa.Mbona hamna swali hapo kwa hujui viwango vya TRA , usije kupewa jibu ukakimbia ....Level ya elimu ya TRA na Taasisi sio swa na nyie usijifananishe , wale ni full professionals wanatumia akili.
Kwani huoni ,? Nimekuambia degree level naona unakwepesha sijui kama una hoja ...Zile nafasi za juzi kuna darasa la saba au form four ? Jaribu kutumia akili sio nguvu .Bado hujajibu swali, Kwahiyo TRA inaajiri digrii pekeyake?
Hata watu wanakuchek si useme afisa wa degree jeshini anapata ngapi na level ile ufananishe na TRA ...Ndio maana elimu muhimu unapiga kelele ,kumbe form four 🤣🤣B
Bado unaruka ruka tu hujibu swali, hata mtoto wa primary angejibu kama lilivyoulizwa.
Mkafanye kazi gani huko bwasheeNgoja nikiulize kitu, huko TRA wanaajiri watu wa darasa la saba na wa kidato cha nne?
Bado hujajibu swali, TRA wanaajiri darasa la saba au kidato cha nne? Mbona swali rahisi? Kwanini unajitungia swali lako? Kama huna majibu semaKwani huoni ,? Nimekuambia degree level naona unakwepesha sijui kama una hoja ...Zile nafasi za juzi kuna darasa la saba au form four ? Jaribu kutumia akili sio nguvu .
Tunaongelea afisa kwa level za degree kwa pande zote ...Sasa kama Unataka ubishi basi tupambane unavyotaka.
Maana watakuwepo wanaofanya kazi ndogo ndogo hapo ofisini, ndomaana nauliza hilo swali, sasa mbona hujubu unaruka ruka tu?Bado hujajibu swali, TRA wanaajiri darasa la saba au kidato cha nne? Mbona swali rahisi? Kwanini unajitungia swali lako? Kama huna majibu sema
Hwana hizo elimu kwa sasaBado hujajibu swali, TRA wanaajiri darasa la saba au kidato cha nne? Mbona swali rahisi? Kwanini unajitungia swali lako? Kama huna majibu sema
Huoni kama unaficha aibu kwa ujinga , pale TRA darasa la saba akafuate nn ? labda wanaofagia ila pale ni professional mwanzo mwisho ...Narudi pale pale , tunafananisha level kwa sababu huyo darasa la saba au form four hamkuti afisa wa pale hata hyu afisa upande wenu bado ni wa kawaida ..Nimekuambia nawe ujibu afisa wa hapo kwenu ngazi ya degree na TRA ngazi ya degree.Yaani hata mtoto wa darasa la pili anaelewa hilo swali, sasa una digrii halafu huelewi swali la darasa la pili?
Sasa si ungejibu tu hivyo tungeokoa muda, alikuwa unakaza fuvu la nini?Hwana hizo elimu kwa sasa
Una haraka sasa twende pole pole huko tutafika acha uogo bwana mdogoHuoni kama unaficha aibu kwa ujinga , pale TRA darasa la saba akafuate nn ? labda wanaofagia ila pale ni professional mwanzo mwisho ...Narudi pale pale , tunafananisha level kwa sababu huyo darasa la saba au form four hamkuti afisa wa pale hata hyu afisa upande wenu bado ni wa kawaida ..Nimekuambia nawe ujibu afisa wa hapo kwenu ngazi ya degree na TRA ngazi ya degree.
Wewe nina mushkeri na elimu yako,uache kuongelea certificate uanze kuongelea darasa la saba na form four🤣🤣🤣..Kuna watu wana certificate ambao ni assistants ...Darasa la saba na form four ni unknown professionals hata jeshini wanapata mafunzo kwanza ...Sasa si ungejibu tu hivyo tungeokoa muda, alikuwa unakaza fuvu la nini?
Kwahiyo watunza kumbukumbu za mafaili, wafagiaji na wengine wa kazi ndogo ndogo, wana elimu gani?