Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Nimekuuliza A level ulisoma kombi gani? Tuanzie hapo, au ulifeli form four huelewi maana ya kombi?
Ulijibu swali hata moja ? Wewe form four A level ulifika lini?🤣🤣


Hamna unachojua kiufupi akili kisoda.
 
Maneno marefu kama kanzu ,jeshi limepat hasara sasa wewe eti ni kiongozi hata kujibu haujui....Jibu swali kwanza , entry ni shilingi ngapi usilete ushamba wako hapa.
 
Kuhusu, Hapo kwenye eneo la Afisa Forodha Msaidizi na Afisa Forodha, ni kwamba awali miaka ya 2018- cheo cha assistant customs officer kilikuwepo na kigezo chake ni Degree, baadae muundo wa ajira wa tra ukabadilika ukaanzisha cheo cha Customs officer
 
Kwa vyeo vya maafisa, wanalingana na hizo taasisi unazosema. Kwa maafisa wakuu, hata hizo taasisi ulizotaja hazioni ndani.
Inategemea afisa level gani , kama ni wale walioko COS,wateule. The rest they hawafikii hayo mashirika kwa mishahara
 
Ulijibu swali hata moja ? Wewe form four A level ulifika lini?🤣🤣


Hamna unachojua kiufupi akili kisoda.
Hoja zangu nne hujajibu
Nimefatilia hii screenshot yako, nimekuta kuwa ni mchango/swali kutoka kwa Mbunge wa Chadema Ester Matiko, akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani pindi akichangia hoja ktk kujadili bajeti ya wizara hiyo, hoja ambayo hats waziri aliyejibu alimwambia aje private ili amuonyeshe mishahara halisi ya Askari hao kwakuwa viwango alivyovitaja siyo sahihi.

Na hao maafisa wa nyota moja anaowataja ni maaskari wa magereza na polisi kwasababu wizara iliyokuwa inajadiliwa ni wizara ya mambo ya ndani, JW ipo wizara ya ulinzi.

Unanyofoa screenshot huzifatilii kwasababu ni mvivu kufikri, waziri kapinga upotoshaji uliofanywa na Ester matiko, nakuwekea link ya hiyo YouTube video uone, naomba wote mtazame ili muone huyu jamaa alivyo kichwa maji na muongo, video haifiki hata dakika mbili.


View: https://youtu.be/rqlWHztZfW0?si=bRKAStZX9EeiqEhd
 
Nazungumzia wenye nyota
officers wana leves pia. Kuna shirika(nalihifadhi) askari wake pekee wana mshahara heavy kuliko hata mwenye nyota mbili jwtz. Unless wakishaanza kufiki 3 na kuendelea
 
Tazama mchango alioutoa kwa maandishi Ester Matiko, hapo ndo ulipopata screenshot yako isiyo na mashiko kwakuwa wewe ni kilaza usiyejielewa.

 
Msemaji wa jeshi la polisi alijitokeza kupinga upotoshaji huo, maana baada ya kauli hiyo, magazeti yaliandika, tazama hiyo video ya Misime, ina dakika sita.


View: https://youtu.be/4cm67HKpZs4?si=KrIYQerMnXesYqgW
Kwahiyo mpaka sasa hakuna hoja uliyoiyoa, kama una degree Taiwan limepata hasara, nitajie chuo ilichosoma ili nisipeleke wadogo zangu huko, pengine watakuwa wanatoa degree zz chupi, ona unavyoumbuka mbele ya kadamnasi
 
Kuhusu, Hapo kwenye eneo la Afisa Forodha Msaidizi na Afisa Forodha, ni kwamba awali miaka ya 2018- cheo cha assistant customs officer kilikuwepo na kigezo chake ni Degree, baadae muundo wa ajira wa tra ukabadilika ukaanzisha cheo cha Customs officer
Ngoja aje kujibu huyo jamaa wako ambaye ni jobless afu anajifanya anakazi.
 
Tanganian Njoo ujibu upotoshaji uliouweka, mimi huwa natoa facts na siyo malalamiko kama wewe. Hoja za mbunge za uongo ambazo kapingwa na waziri, ndo unatuletea hapa kama sehemu ya kutetea hoja zako, hivi hiyo degree yako umeiokota jalalalani au ni digrii ya chupi?

Nina uhakika degree nilizonayo mimi wewe huna kichwa cha kuzisoma.
 
Nionyeshe hapa barua ya madeleka
Ni kweli hiyo barua Advocate Madeleka aliituma kwenye account yake ya Twitter akionyesha amepandishwa cheo na kuwa inspector kamili na kiwango cha mshahara wa cheo hicho,
Hiyo barua iko mbali kwa kweli hadi niitafute.
 
Kuhusu suala la mshahara waziri wa mambo ya ndani asingeweza kukubali kuwa ni kweli, kutokana na ukweli kwamba mishahara ya serikali ni Siri.
 
Alichosema matiko hajakosea viwango ni hivyo hivyo, madeleka alisha onyesha barua yake ya kupandishwa cheo na tuliiona
Nyota moja mwenye degree wa hayo majeshi ya wizara ya ndani ndo anaondoka na 1.2mil, hapo hujajumlisha posho zingine kama chakula, maji, umeme, kodi, vinywaji. Hakumaanisha wa JW hapana, kwasababu kuna polisi mmoja ana degree na nyota moja, anakunya 1.2mil, so ni sahihi kwa majeshi hayo, ila mwenye nyota(polisi au magereza) ambaye hana degree ndo anakunja 950K kwa mujibu wa Ester Matiko.

Sasa rafiki yako Tanganian kwakuwa akili zake fupi, anafikiri ni JW, yaani hajui kuwa iliyokuwa inazungumziwa ni wizara ya mambo ya ndani na siyo wizara ya ulinzi, hajui hata wizara za nchi yake, ndomaana nipo interested kujua alisoma chuo gani na degree ya nini, na alisomaje, alipata zero form four akarisiti, akaunga unga certificate mpaka akaja open University au alipitaje pitaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…