Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Kwanza huyo unaweza kuta ndio wale form iv alifeli akawa kero kwa wazazi wakampeleka Jeshi kama last resort
Wewe si ulisema mwanzoni kuwa ambaye hajasomea udaktari maana yake alipata maksi ndogo, mbona nawewe ulisomea land surverying na siyo udaktari, inamaana nawewe ulipata maksi ndogo? Kama ni kweli, kwanini ulifeli?
 
Tanganian naomba unipe summary ya hoja mnazobishana na Zinn ili nizichambue kwa kina leo siko busy.
Anaandika upuuzi tu , nilimwambia ataje entry level , anatajaafisa kamanda 🤣🤣 sasa afisa kamanda inakuwaje awe hivyo wakati entry level wanaingia na nyota.


Kule bungeni walitaja mishahara wakasema anayeanza. na nyota anapiga around mil 1.2 mpaka mil 1.5 ,mwaka waliotaja Taasisi yetu entry alikuwa anakula mil 2.5 .... Wanafikria wana siri basi na wakati hata kama imeongezwa sio milion ni laki kadhaa....
 
Tanganian naomba unipe summary ya hoja mnazobishana na Zinn ili nizichambue kwa kina leo siko busy.
Ngoja aanze kwanza ndugu yako huyo, akisema kashindwa ndo umsaidie, nataka nipime uwezo wa ukoo wake wa kufikri, inaonekana ukoo wao ndo unamtegemea kuwa ndo msomi, Kwahiyo anavyoruka ruka hapa bila hoja, maana yake na ukoo wote upo hivyo.
 
Hiyo nilishajibu sitaji, na hiyo ya bunge nilishakuonyesha kuwa haigusiani na JW, inahusiana na mambo ya ndani, kwakuwa wewe ni kilaza, hujaelewa mpaka sasa, unakaza kichwa tu.
 
Hiyo nilishajibu sitaji, na hiyo ya bunge nilishakuonyesha kuwa haigusiani na JW, inahusiana na mambo ya ndani, kwakuwa wewe ni kilaza, hujaelewa mpaka sasa, unakaza kichwa tu.
🤣🤣🤣Afisa kamanda ni nan? Hata wasaidizi wa TRA maisha yao yanajulikana ni mazuri ,mnamegewa kidogo basi mnaoana mko special...Wewe hta vita hujawahi kwenda kelele tu hapa.
 
Saveya Umeona akili za ndugu yako, yaani hapo ndo amesummarize hoja zangu, hata ndezi hawezi kufikiri hivyo, mambo ambayo hata wewe uliyaona na ukamkosoa.
 
Saveya Umeona akili za ndugu yako, yaani hapo ndo amesummarize hoja zangu, hata ndezi hawezi kufikiri hivyo, mambo ambayo hata wewe uliyaona na ukamkosoa.
Punguza maneno marefu kama kanzu , hujiamini huko jeshini unapeleka aibu tupu ..Unashindwa nn kutaja unaandika gazeti mambo hayana maana kabisa.

Si utaje watu waone ...
 
🤣🤣🤣Afisa kamanda ni nan? Hata wasaidizi wa TRA maisha yao yanajulikana ni mazuri ,mnamegewa kidogo basi mnaoana mko special...Wewe hta vita hujawahi kwenda kelele tu hapa.
Mara ya sita hii nafafanua, lugha ya code inayomaanisha mtumishi wa JW mwenye nyota begani (cheo cha afisa), hata watu humu wanakushangaa ulivyo zwazwa, hoja unajibiwa mara nyingi unarudia swali lile lile, lakini hoja zangu sita hujajibu mpaka sasa
 
Punguza maneno marefu kama kanzu , hujiamini huko jeshini unapeleka aibu tupu ..Unashindwa nn kutaja unaandika gazeti mambo hayana maana kabisa.

Si utaje watu waone ...
Sitaji
 
Mara ya sita hii nafafanua, lugha ya code inayomaanisha mtumishi wa JW mwenye nyota begani (cheo cha afisa), hata watu humu wanakushangaa ulivyo zwazwa, hoja unajibiwa mara nyingi unarudia swali lile lile, lakini hoja zangu sita hujajibu mpaka sasa
Acha maelekezo mengi
 
nawewe hujajibu hata moja ktk sita, hadi mwenzio kaomba akusaidie maana kaona kabisa umeshindwa.
Sasa hauwezi kujibu ni maelezo mengi ..Toa jibu kama hauwezi kutaja kaa kimya ,hamna pesa ndefu
 
Dogo acha dharau na dharau zitakuponza.

Kwenye hii nchi kila taasisi zina umuhimu wake ila kuna taasisi zina umuhimu zaidi.

Hii nchi bila kulindwa unadhani pangekalika kweli hata hao madaktari wangediriki kutibu watu kweli unajua usiongee utumbo kufurahisha watu tu humu.

Wanaume hawalali wapo mipakani wanakulinda wewe halafu unachukulia poa hivi unajua hata kinachoendelea mipaka ya Mtwara na Msumbiji wanaume wamekufa kwa ajili yako wewe uliye kwa shemeji yako.

Emu vuta picha nchi hii yani hkuna Jeshi na tunaishi na majirani kama Akina Rwanda, DRC, Msumbiji na n.k vipi hapo pangekuaje hapo.

Taasisi pekee ambayo hata Rais hawezi Kuja kuiongelea utumbo ni Jeshi na hutaweza kuuona huo ujinga kama unabisha mwambieni Rais afanye hivyo.

Marehemu Rais Magufuli alipofariki nchi ilikuwa chini ya udhibiti wa Jeshi yaani CDF Mabeyo mpaka Rais alivyoapishwa hivi unadhani Mabeyo angeamua kukataa uapisho wa Rais na kupitisha utawala wa kijeshi kuna mtu angeinua pua yake pale?

Hao madaktari waligoma kipindi cha Rais mstaafu Kikwete uliza kilichofanyika mpaka Leo sidhani kama watarudia na hao hao wanajeshi ndio walikuwa wanaenda kutibu watu badala ya madaktari na hakuna daktari aliye bembelezwa na waliufyata wenyewe na wakarudi kazini wenyewe halafu unakuja kuongea pumba hapa.

Alikuwa sijui ni Waziri yule kama sikosei alishiba kama wewe hivyo hivyo makande akawa anaongea pumba kama zako masaa kadhaa kupita hana kazi halafu jobless mmoja unapata ujasiri wa kuongea shit kama hizo.

Unasema wanapata vitambi wewe ulitaka wote waende mipakani sio?? Acha uzwazwa
 
Acha zako wewe ,acha kujipa umuhimu ... Madaktari ni muhimu kwenye afya za watu ,kuna nchi hazina jeshi ila sio madaktari kama unabisha upewe ...Acha kufikiria mambo yasikuwa na mzingi ...We tena usirudie kuandika ujinga ,mnadharau madaktari kwa kipi mlichokuwa nacho.

Watu wanaopigania uhai wa mtu ,wanapigania wanawake wajifungue salama ,unafananisha na mambo yenu ya vurugu hayo ...Tena usirudie tena kaundika kama ya kufikiria. kuna Rais ndio wanegweza kuchukua nchi sio kwa jeshi la Tz .

Usirudie tena kuandika ujinga .
 
-Taasisi pekee ambayo Rais hawezi kuiongelea utumbo ni Idara ya Usalama wa Taifa na Ujasusi,hao ndio wananusa mambo ya kila kona hadi kwenye majeshi yote wananusa.
-Kuhusu mgomo wa madaktari, huwezi kulinganisha ubora wa madaktari wa MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL as well as MUHAS pale ndio centre of medical professionalism huwezi kulinganisha na huko kwenu kulikojaa incompetent.
-kuhusu hao waliokuwa mipakani Mozambique huko hao wote wakiumia vibaya watapelekwa national hospital kama last resort kabla ya kwenda nje ya nchi for medical purposes.
  • madaktari ndio priority number one, kama ni kulindwa tunaweza kulindwa hata na majeshi ya kigeni Incase jeshi letu haliko stable,
  • Kama hawalali hiyo ni juu yao ndio kazi waliyoachagua Tena hata kwa kutumia connection kuipata,mwenzio daktari katumia akili nyingi sana compared na wewe uliyemaliza form IV, labda nikuulize swali wewe kazi yako inahitaji IQ kubwa kuliko medical specialists ?
 

Narudia tena sijadharau taasisi yoyote na ndio maana mwanzo kabisa nilisema taasisi zote zina umuhimu wake ila Jeshi lina umuhimu zaidi kwenye huu ulimwengu wa machafuko ko acha kutafuta sababu kuwa nimedharu.

Kingine acha kuongelea nchi za watu tuko hapa kuongelea kuongelea nchi yetu Tanzania acha kufananisha bongo na nchi za ulaya kwamba eti kwakuwa wao hawana Jeshi eti na sisi labda lisiwepo utoboi wewe siku haiishi unachinjwa vizuri na unakuwa mwisho wa kukaa kwa shemeji yako yani kusingekuwa na Jeshi we sahivi usingekuwa una type hapa.

Wewe na Tanzania yako kipindi cha korona ilikuaje mbona ulitoboa bila ya hata hao nadaktari na na ulikuwa unajifungia chumbani kwako huku ukijifukiza na ukatoboa vizuri tu.

Unaweza ukaishi bila madaktari na ukaishi vizuri tu na mambo yakaenda tu ila bila ulinzi wa taifa hili we sahivi ungekuwa ushakimbia upo hata huko Botswana.
 
Paragraph ya mwisho imeonesha kuwa wewe popoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…