Huyo Tanganian kakimbia baada ya kuona kapotosha screenshot zake, sisi tulikuwa tunajadili kuwa madaktari hela zao ni ndogo cha ajabu unanichanganyia na mambo ya taasisi kana kwamba hujui tulikuwa tunajadili nini, na screenshot ya take home ilitumwa huku na pia pesa wanazopokea specialist nimetaja, yote hayo huelewi hadi utumiwe waraka?- Kama scales hazizajwi hauna base ya kusimamia, itakuwa ni story za Vijiwe vya kahawa tu, na ndio maana hata Tanganian alionekana kakushinda kwa hoja kwa sababu yeye alikuwa analeta hadi salary scale za mashirika ya umma, akakuambia kuwa TCAA salary scale ni 4m, per diem ni 200,000/, pia Wana extraduty 900,000/-, housing 800,000/-
-oncall allowance inalipwa kwa appearance au kwa flat rate?
- weka huo waraka unaosema hivyo,au source ya hiyo taarifa, kwa sababu hata per diem, extraduty zilivyopanda haikuwa siri ilitangazwa
- btw Kingine hizo posho unazozifanya siri wala sio pesa nyingi, taasisi per diem ndio Zina weBoost mwenzio anapata safari za siku 20-15 Kila mwenzi ukifanya hesabu hapo utakuta analipwa per diem za 4m, akijumlisha salary, extraduty, housing, transport, anazaidi ya 8m, wakati wewe ukipata safari ya kikazi per diem yako ni 100,000/-
So watu wanalipwa call flat rate hizo nilizotaja, japo waraka umetaja kwa siku ni 50K kwa MD na 60K kwa specialist.Huyo Tanganian kakimbia baada ya kuona kapotosha screenshot zake, sisi tulikuwa tunajadili kuwa madaktari hela zao ni ndogo cha ajabu unanichanganyia na mambo ya taasisi kana kwamba hujui tulikuwa tunajadili nini, na screenshot ya take home ilitumwa huku na pia pesa wanazopokea specialist nimetaja, yote hayo huelewi hadi utumiwe waraka?
On call allowance kwa siku waraka unasema ni 50K, kwa mwezi mtu anaweza akawa na call kumi so ni total 500K, sasa cha ajabu hazilipwi hizo, watu wanalipwa 100K kwa tamisenga na 250K kwa wizarani, waraka wenyewe unasema, pesa italipwa kulingana na bajeti ya mwajiri, inaonekana mkurugenzi anatumia hicho kipengele kulipa watu hela ndogo.
Ni kweli watu wa afya kazi yao ni ya muhimu ila hawana hela.
Hao jamaa maendeleo yanaonekana 🤣🤣🤣 ni wabishi kujiona wa tofauti... Wenzie hata mshahara walipwe baada ya miezi miwili hawana tatizo ,mtu yuko safarini siku nne ni kawaida anakunja mpaka mil 1 kwa rate ya 250k ya per diem ...- Kama scales hazizajwi hauna base ya kusimamia, itakuwa ni story za Vijiwe vya kahawa tu, na ndio maana hata Tanganian alionekana kakushinda kwa hoja kwa sababu yeye alikuwa analeta hadi salary scale za mashirika ya umma, akakuambia kuwa TCAA salary scale ni 4m, per diem ni 200,000/, pia Wana extraduty 900,000/-, housing 800,000/-
-oncall allowance inalipwa kwa appearance au kwa flat rate?
- weka huo waraka unaosema hivyo,au source ya hiyo taarifa, kwa sababu hata per diem, extraduty zilivyopanda haikuwa siri ilitangazwa
- btw Kingine hizo posho unazozifanya siri wala sio pesa nyingi, taasisi per diem ndio Zina weBoost mwenzio anapata safari za siku 20-15 Kila mwenzi ukifanya hesabu hapo utakuta analipwa per diem za 4m, akijumlisha salary, extraduty, housing, transport, anazaidi ya 8m, wakati wewe ukipata safari ya kikazi per diem yako ni 100,000/-
Anaogopa kutaja salary scale, anawasifu la7 PTE wanaopata 1.5mHao jamaa maendeleo yanaonekana 🤣🤣🤣 ni wabishi kujiona wa tofauti... Wenzie hata mshahara walipwe baada ya miezi miwili hawana tatizo ,mtu yuko safarini siku nne ni kawaida anakunja mpaka mil 1 kwa rate ya 250k ya per diem ...
We ni liongo, Private gani huyo anaepokea 400k- 600k ni jeshi hili hili la Tz au ni la KenyaLeteni ukweli
Labda ni600,000 bila kujumlisha poshoWe ni liongo, Private gani huyo anaepokea 400k- 600k ni jeshi hili jili la Tz au ni la Kenya
Kitu ambacho wanatakiwa wakijue ni kwamba wewe ukiwa na taaluma yako upo labda tamisemi au labda wizarani na soja mwenye taaluma hiyo hiyo hapo hamuwezi kulingana yani soja atakupiga kubwa mno Jeshini unapoishia wewe yeye ndo anaanza mfano labda wizara ya MD analipwa 1.5m Jeshini analipwa zaidi ya hiyo mazee na stahiki ulizonazo anazipata zoote bado na maposho ko kikubwa hapo hawawezi kufanana.Nazungumzia taaluma ya kiraia ambayo anayo mtu wa JW, wewe unataka umlingsnishe specialist na JW mwenye form four ni haki hiyo? Linganisha na JW msomi mwenzie, analipwa pesa ya JW na posho ya taaluma yake, analipwa mara mbili mbili.
Wapi wewe wakati unaogopa hata kunitag, weka weka hiyo mishahara yenu uone ,uwekewe mzigo hapa utakimbia ...Huyo Tanganian kakimbia baada ya kuona kapotosha screenshot zake, sisi tulikuwa tunajadili kuwa madaktari hela zao ni ndogo cha ajabu unanichanganyia na mambo ya taasisi kana kwamba hujui tulikuwa tunajadili nini, na screenshot ya take home ilitumwa huku na pia pesa wanazopokea specialist nimetaja, yote hayo huelewi hadi utumiwe waraka?
On call allowance kwa siku waraka unasema ni 50K, kwa mwezi mtu anaweza akawa na call kumi so ni total 500K, sasa cha ajabu hazilipwi hizo, watu wanalipwa 100K kwa tamisenga na 250K kwa wizarani, waraka wenyewe unasema, pesa italipwa kulingana na bajeti ya mwajiri, inaonekana mkurugenzi anatumia hicho kipengele kulipa watu hela ndogo.
Ni kweli watu wa afya kazi yao ni ya muhimu ila hawana hela.
Sitting allowance kwa baadhivya Taasisi ni 150k ,hii kama bungeni ,nilikwua nakaa wiki mbili na usheee ...Napata posho ya mawasiliano ambayo ni 200k kwa mwezi, kulipia kingamuzi cha nyumba 240k flat ,ila nilikuwa na azam Tv haifiki hata 30k kwa kipind kile ...Utanieleza nn na sivai uniform 🤣🤣🤣🤣....Mtu ana pesa mpaka ya kufuta viatu .Huyo Tanganian kakimbia baada ya kuona kapotosha screenshot zake, sisi tulikuwa tunajadili kuwa madaktari hela zao ni ndogo cha ajabu unanichanganyia na mambo ya taasisi kana kwamba hujui tulikuwa tunajadili nini, na screenshot ya take home ilitumwa huku na pia pesa wanazopokea specialist nimetaja, yote hayo huelewi hadi utumiwe waraka?
On call allowance kwa siku waraka unasema ni 50K, kwa mwezi mtu anaweza akawa na call kumi so ni total 500K, sasa cha ajabu hazilipwi hizo, watu wanalipwa 100K kwa tamisenga na 250K kwa wizarani, waraka wenyewe unasema, pesa italipwa kulingana na bajeti ya mwajiri, inaonekana mkurugenzi anatumia hicho kipengele kulipa watu hela ndogo.
Ni kweli watu wa afya kazi yao ni ya muhimu ila hawana hela.
Mkisemwa mnaleta mikwara , hamna maendeleo kiufupi na hamna kitu cha kuwatisha watu....Kaa kwa kutulia wazee wa mikopo ,hizi Taasisi kubwa hamtoboi kwa bongo mnatumika kisiasa tu hamna cha maana.Tafuta, siri za serikali siwezi kuanika hapa, waraka umeandikwq kabisa ni siri, ulitolewa na katibu mkuu wa utumishi wa umma na utawala bora, we niulize cheo chochote cha hao watu wa afya au taaluma zingine nikutajie pesa zao.
Wanalipwa kawaida ,siri ya wanajeshi hawana elimu ni tatizo kubwa ,wanakimbilia mikopo hawajui hata compound interest ..Mtu anachukua mkopo wa miaka mingi ila anapata tabu ya kurejesha ..Hapo kanunua kiwanja au gari anaanza kusuffer miaka mingi kurudisha mikopo...Hawana maendeleo kwa kweli.Anaogopa kutaja salary scale, anawasifu la7 PTE wanaopata 1.5m
Btw wanaowazidi ni kwa sana ni watumishi wa tamisemi except watu wa ardhi wa tamisemi hao Wana hela
Watu mna helaSitting allowance kwa baadhivya Taasisi ni 150k ,hii kama bungeni ,nilikwua nakaa wiki mbili na usheee ...Napata posho ya mawasiliano ambayo ni 200k kwa mwezi, kulipia kingamuzi cha nyumba 240k flat ,ila nilikuwa na azam Tv haifiki hata 30k kwa kipind kile ...Utanieleza nn na sivai uniform 🤣🤣🤣🤣....Mtu ana pesa mpaka ya kufuta viatu .
Hahah eti nilikuwa napata posho ya mawasiliano, uipatie wapi hiyo wewe joblessSitting allowance kwa baadhivya Taasisi ni 150k ,hii kama bungeni ,nilikwua nakaa wiki mbili na usheee ...Napata posho ya mawasiliano ambayo ni 200k kwa mwezi, kulipia kingamuzi cha nyumba 240k flat ,ila nilikuwa na azam Tv haifiki hata 30k kwa kipind kile ...Utanieleza nn na sivai uniform 🤣🤣🤣🤣....Mtu ana pesa mpaka ya kufuta viatu .
Naona unalia mabaka ,hauna maendeleo endelea ulifikria unapata pesa ndefu🤣🤣🤣🤣watu wanachora na mikwara yenu.Hahah eti nilikuwa napata posho ya mawasiliano, uipatie wapi hiyo wewe jobless
Jombaa hakuna watu waongo kama huyu mtu, jamaa ni jobless flani Sema ndo hivyo anaamua kujikamua tu hapa hamna mtu hapoWatu mna hela
🤣🤣🤣 Unalia , wewe salary slip niweke kama hauweiz wewe ni mthengeJombaa hakuna watu waongo kama huyu mtu, jamaa ni jobless flani Sema ndo hivyo anaamua kujikamua tu hapa hamna mtu hapo
Wewe hapo halmashauri hiyo allowance ya mawasiliano 200k unaitoa wapi ndo maana nakwambia wewe ni liongoNaona unalia mabaka ,hauna maendeleo endelea ulifikria unapata pesa ndefu🤣🤣🤣🤣watu wanachora na mikwara yenu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Unashangaa kwanza darasa la saba ukae wapi kwenye sitting allowance labda uwe mbunge..Uliza watu wanafanyia nn ,watu wanajadili Mambo ya msingi kama kipind hiki cha kufunga mwaka ; kuandaa bajeti na ripot mbalimbali..Wewe hapo halmashauri hiyo allowance ya mawasiliano 200k unaitoa wapi ndo maana nakwambia wewe ni liongo
🤣🤣🤣🤣Dogo unalia ,unamiliki pikipiki ndefu zile ,ulikimbia umande wa shule .🤣🤣Wewe hapo halmashauri hiyo allowance ya mawasiliano 200k unaitoa wapi ndo maana nakwambia wewe ni liongo