Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Unafikiri kupata kazi TRA ni mchezo
 
Ukisema afisa mkuu kwenye utumishi wa umma maana yake ni Principal Officer
Kuwa mwelewa, mi nazungumzia jeshi, achana na hao ambao wanalalamika hawajalipwa mishahara nahuku wanajua mwisho wa mwezi haujafika.
 
Taarifa zilizopo ni kwamba tangu jana asubuhi wanajeshi walishalipwa mishahara yao ya mwezi April huku watumishi wengine mpaka leo bado.
Onesha sehemu uliyosaini kwamba utalipwa salary tarehe 18.
Fanya hv, andika barua nzuuri yenye haya maoni, peleka kwa HR wako 😂
 
Msilipwe miezi mitatu tuone inakuwaje kwani mnafanya kazi gani nyie.Wafanyakazi wa TZ wengi wenu mnalipwa mishahara ya bure tu.Kuna Halmashauri moja hapa nchini watumishi wanaingia saa 4 asbh wanatoka saa 7 mchana na hakuna mtu anayejali
 
Nyie kwani mnafanya kazi gani?
 
Kuwa mwelewa, mi nazungumzia jeshi, achana na hao ambao wanalalamika hawajalipwa mishahara nahuku wanajua mwisho wa mwezi haujafika.
Afisa Mkuu huko kwenu ni nani
 
Reactions: K11
Ofisa wa tra anakula mara 3 ya huo mshahara, bado extra duty, housing, communication, nk
Huyo Ofisa wa Tra ni ana elimu gani kumbuka huyo private wa JWTZ na darasa la saba sasa ntafutie huyo Ofisa Tra darasa la saba anaelipwa hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…