Tetesi: Aliyeua Baba Zake, alikuwa anatuma Pesa akiwa South Africa Wakazitafuna

Au sio, kwahiyo alienda Sauzi akiwa na miaka 14!?
 
dogo msenge sana.watu tulishaliwa mabilioni yeye vichenchi kidogo tu anatenda jinai? Maisha yake yameishia hapo
Siyo kila mmoja anaamua kwa busara inapokuja ishu ya vyake kuliwa,kingine mkuu ungekuwa umeliwa kweli mabillion achilia mbali malaki kwa life hili la Bongo sahizi ungekuwa majalalani umeshadata hapo umeamua tu uchekeshe
 
Mik mitano tuu marehemu wakisahaulika jama anachiwa free hamta amini...
Aliekufa kafa.
 
Wawili Mochwari mmoja Jela, wote malengo ya serikali.

Mtu ametake risk Yuko South West unamuonea mijinga Hana akili pesa zake unakula zote
 
Kuhusu chanzo cha tukio hilo, Mwanahamisi amesema bado hawana majibu ya uhakika. Hata hivyo, amesema kabla ya tukio Hosamu alikuwa akidai nyumba hiyo ni urithi alioachiwa na babu yake na kutaka kuishi humo pamoja na mpenzi wake.
Kobazi hamna akili hawa, Nyumba za Urith Baba anagombana na mjukuu naye humo humo
 
dogo msenge sana.watu tulishaliwa mabilioni yeye vichenchi kidogo tu anatenda jinai? Maisha yake yameishia hapo
Bilioni? Wewe kwako ni ndogo, Mwingine ame
Mbona inasemekana ana karibu 7 months hivi tangu arudi Bongo kipindi chote hiko hakunotice kuwa hela zake kapigwa? mpaka tukio aje afanye leo
Anakula timing Mzee kuwapatia wote wawili
 
Kuna muda wazazi muwe na huruma na watoto wenu…sifurahii but maamuzi yake yanaweza fanywa na yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…