Tetesi: Aliyeua Baba Zake, alikuwa anatuma Pesa akiwa South Africa Wakazitafuna

Hawa madogo wengi wanapenda SA , wanarudi wakiwa wamechanganikiwa ni Bangi , mtungi na wizi.

Sasa sielewi kama MTU wa hivi anaweza aka make pesa kiasi cha kununua kiwanja na kujenga


Yaani ktk madogo wanapenda SA ni 1% Wana win life na 99% wanatoka

0-0
 
Mwingine huku kwetu kamwambia mama yake Wasijuane, akifa mama yake asimzike na yeye mama yake akifa atoenda msibani.

Alikua Oman anafanya kazi za ndani anamtumia mama yake hela amjengee nyumba ila mama yake akawa anakula tu.
Hiyo ndio dawa, hela ambayo Mtu anatumia ajenge sio hela ndogo hata kama mama anakula asingepaswa kumaliza, sema nini Family kama hizi huwa zimebomoka kitambo sana za single mazas
 
That isn’t problem solving. It’s making a bad situation worse!
 
Pesa ni njia lahisi ya kubomoa na kuvunja familia uaminifu na umakini usipo zingatiwa.
 
Sasa baada ya kuua amepata hizo fedha au ndio kaharibu kabisa. Hakupata ushauri mzuri kwa hilo jambo kabla ya kufikia hatua ya kuua.
 
Hao maaskari ni mahensam tatizo kazi yao tu ya kifala halafu wanafanana kama ndugu vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…