Unaweza usifanye jinai yeyote na jela ukaenda mkubwa.dogo msenge sana.watu tulishaliwa mabilioni yeye vichenchi kidogo tu anatenda jinai? Maisha yake yameishia hapo
TutamfwatiliaaaaaaHuyu jamaa aliyewapeleka Baba zake (Baba mzazi na Baba Mdogo) akhera a.k.a mbinguni inasemekana alikuwa Afrika Kusini akawa anasukuma harakati zake huko kwa mkabulu. Kama mnavyojua kwa mkabulu ukienda kama foreigner asiyekuwa taaluma basi utapiga kazi za kila aina, waswahili wanasema utakuwa kilaka.
Sasa mjuba inasemekana alikuwa akipata gigs basi anatuma Bongo hili Baba zake wamnunulie kiwanja mixture kumsaidia ujenzi. Kumbe wale wazee wanazitafuna tu kibingwa, kama unavyojua Baba mzazi ana miaka 48 na Baba mdogo 37 hivyo bado nguvu za kitafuna maisha wanazo.
Hapa katikati ikatokea vurugu za Xenophobia huko Afrika Kusini, raia wa Kiafrika ambao ni wageni wakaanza kufukuzwa kurudi kwenye nchi zao. Dogo janja nae akarudi Bongo huku akiwa anamategemeo kukuta Baba zake wamemfanyia maendeleo. Anafika home anakuta chenga, anauliza pesa wapi au maendeleo wapi, anapigwa Kiswahili.
Dogo akaona hii miyeyusho, stress zikaanza kuwa nyingi ukiangalia umerudi Bongo bila chochote ukitegemea kukuta pesa zako zimekujengea nyumba na kuleta maendeleo. Ukijumuisha na kurudi Bongo na kuanza moja bila kazi basi dogo akadata zaidi. Ndio akapiga lile tukio.
HahahahaImagine huyo dingi anakaa mwananyamala kwenye jumba la urithi ataweza kumjengea mtoto kweli?
Kwahiyo tunafanyaje sasaNiko nao hapa kambini 😂😂
Mamakee ana machalee akatoe sadaka na huyo Baba wa kamboInawezekana kuna ukweli kwa sehemu, lakini ukiangalia hii habari ya Mwananchi, dogo haoneshi kama alikuwa na pesa ya kutuma toka Afrika ya Kusini. Alikuwa lofa tu.
Simulizi ya familia
"Nilijikaza moyo kushuhudia ndugu zangu wakifukuliwa, lakini nilichokiona siwezi kukisahau maishani. Walikuwa wameuawa kikatili na kufukiwa. Hatujui walifanyiwa nini kabla ya kuuawa, lakini kwa sasa tunachoomba ni haki itendeke." amesema dada mkubwa wa familia, Mwanahamis Omary.
Kauli hiyo inaakisi maumivu yanayoikabili familia ya Omary baada ya kupoteza ndugu zao wawili, Ally Omary, maarufu Bob aliyekuwa kondakta wa daladala za Masaki-Simu 2000, na kaka yake, Hamza Omary, maarufu King Hamza, aliyekuwa akijishughulisha na biashara ya kukusanya makopo ya plastiki.
Akizungumza na Mwananchi leo Julai 18, 2026, Mwanahamisi amesema walipoteza mawasiliano na ndugu hao usiku wa kuamkia Julai 17 mwaka huu baada ya simu zao kutopatikana, jambo ambalo halikuwa la kawaida.
"Tulikuwa tunawapigia simu lakini hazikupatikana. Hilo halikuwa jambo la kawaida kwao. Ndipo tukaanza kuwa na hofu. Baada ya muda nikapigiwa simu niambiwe nifike hapa nyumbani kwa sababu kuna tatizo. Nikawaambia waniweke wazi kama kuna msiba nikihisi Ally amefariki kwa sababu hakuwa anapatikana," amesema Mwanahamisi.
Kuhusu chanzo cha tukio hilo, Mwanahamisi amesema bado hawana majibu ya uhakika. Hata hivyo, amesema kabla ya tukio Hosamu alikuwa akidai nyumba hiyo ni urithi alioachiwa na babu yake na kutaka kuishi humo pamoja na mpenzi wake.
Amesema madai hayo hayakuwa ya kweli, kwa kuwa suala la umiliki wa nyumba hiyo halikuwa kama mtuhumiwa alivyokuwa akidai.
Kuna siku huyu kijana alisema nyumba hii aliachiwa na babu yake kama urithi kabla hajafariki, jambo ambalo limetushangaza. Tangu baba yetu aanze kuugua hadi anafariki, huyu kijana hakuwepo. Ndiyo maana tunashangaa anapodai aliachiwa nyumba hiyo kama urithi," amesema.
Naye, Husna Omary, ambaye ni shangazi wa mtuhumiwa Hosamu amesema kabla ya tukio hilo la mauaji kijana huyo alikuwa akijihusisha na matumizi ya bangi baada ya kurejeshwa kutoka Afrika Kusini Julai 2025.
Hosamu tumemlea sisi wenyewe hapa. Baadaye alichukuliwa na mjomba wake kwenda Afrika Kusini. Alirudishwa mwaka jana na akaenda kuishi kwa mama yake Gongo la Mboto. Kutokana na vituko alivyokuwa akimfanyia mama yake na baba yake wa kambo, alifukuzwa saa 10 alfajiri kisha akarudi hapa baada ya miezi miwili tu," amesema Husna.
Mambo ni mengi ila kama kweli alitapeliwa naona alikuwa sahihi kuwauaYaani Mjukuu kamuua Baba ake kisa NYUMBA ya Urithi wa Babu yake ,dah Umasikini mbaya sana
Kuna Babu unampenda Mjukuu wako wa kwanza sana kiasi unasema huyu atakua mrithi wangu wa kitu Fulani bila maandishi, wakati huo watoto wako wapo na ndio Wazazi wa huyo MjukuuAu yawezekana huyo si baba yakehaya mambo yanaanziaga mbali sana
Kaachukua maamuzi magumuMambo ni mengi ila kama kweli alitapeliwa naona alikuwa sahihi kuwaua
Inauma watu wanatafuta pesa kwa njia ngumu sana ukute kaliwa na tako halafu mtu akudhulumu,, yupo sawa bora kuua kuliko kumuona mwizi wako akikuchekaKaachukua maamuzi magumu
HahahahaInauma watu wanatafuta pesa kwa njia ngumu sana ukute kaliwa na tako halafu mtu akudhulumu,, yupo sawa bora kuua kuliko kumuona mwizi wako akikucheka
Yeah inawezekana kuna mengi hapo na mbaya zaidi wanaojua wameshakufaKuna Babu unampenda Mjukuu wako wa kwanza sana kiasi unasema huyu atakua mrithi wangu wa kitu Fulani bila maandishi, wakati huo watoto wako wapo na ndio Wazazi wa huyo Mjukuu
Hiv watu wanapata wapi huu ujasiri wa kuwa wakatili namna hii kwenye jasho la watu? Kisa wewe ni mzazi au?Mwingine huku kwetu kamwambia mama yake Wasijuane, akifa mama yake asimzike na yeye mama yake akifa atoenda msibani.
Alikua Oman anafanya kazi za ndani anamtumia mama yake hela amjengee nyumba ila mama yake akawa anakula tu.
Baadhi ya wazazi hawajielewi.Hiv watu wanapata wapi huu ujasiri wa kuwa wakatili namna hii kwenye jasho la watu? Kisa wewe ni mzazi au?
Huyu jamaa aliyewapeleka Baba zake (Baba mzazi na Baba Mdogo) akhera a.k.a mbinguni inasemekana alikuwa Afrika Kusini akawa anasukuma harakati zake huko kwa mkabulu. Kama mnavyojua kwa mkabulu ukienda kama foreigner asiyekuwa taaluma basi utapiga kazi za kila aina, waswahili wanasema utakuwa kilaka.
Sasa mjuba inasemekana alikuwa akipata gigs basi anatuma Bongo hili Baba zake wamnunulie kiwanja mixture kumsaidia ujenzi. Kumbe wale wazee wanazitafuna tu kibingwa, kama unavyojua Baba mzazi ana miaka 48 na Baba mdogo 37 hivyo bado nguvu za kitafuna maisha wanazo.
Hapa katikati ikatokea vurugu za Xenophobia huko Afrika Kusini, raia wa Kiafrika ambao ni wageni wakaanza kufukuzwa kurudi kwenye nchi zao. Dogo janja nae akarudi Bongo huku akiwa anamategemeo kukuta Baba zake wamemfanyia maendeleo. Anafika home anakuta chenga, anauliza pesa wapi au maendeleo wapi, anapigwa Kiswahili.
Dogo akaona hii miyeyusho, stress zikaanza kuwa nyingi ukiangalia umerudi Bongo bila chochote ukitegemea kukuta pesa zako zimekujengea nyumba na kuleta maendeleo. Ukijumuisha na kurudi Bongo na kuanza moja bila kazi basi dogo akadata zaidi. Ndio akapiga lile tukio.