Aliyeuawa na Mumewe 2019 kuagwa leo

 
Yani nikuoe unirudie nyumbani kwangu saa 7 usiku umelewa na maneno ya shombo.

Hata mie nakutoa kichwa.
 
Kimbia kwa Usalama wako, tena Hama nyumba kapange self container room moja chaaap.
Piga kazi mbwa inayokusumbua itapata akili baadae wewe ushapata mke mwingine
Ni moja ya njia nzuri kuepuka majanga makubwa baada ya ugomvi wa kimahusiano (bila kujali ni ME au KE anaamua kufanya hivi). Lkn pia inapotokea mtu anafanya hivi pia hulaumiwa sana.
 
Yeah
 
Hamis namwelewa maana hawa watu akili na mioyo yao acha tu! Ipo siku na mimi.
Mkuu achana naye wewe jijenge tu siku moja atajaa kwenye mfumo utamfumua kihisia. Naungana na jamaa kupambana na huyu niliye naye jamaa atanyongwa bure lazima tumlipie kisasi kwa viumbe hawa wenye kiburi.
 
Sema ndo ina mambo mengi sana na kila mtu akikwambia yaliyoko kwenye ndoa yake hutokuja kuamini.
Kuna watu wanamiaka 7 toka wafunge ndoa leo kila moja analala kitanda chake kwa muda wa mwaka sasa ukiuliza chanzo ni usaliti ndani ya ndoa.
Hata kifo cha naomi ni usaliti ndani ya ndoa
 
Sema ndo ina mambo mengi sana na kila mtu akikwambia yaliyoko kwenye ndoa yake hutokuja kuamini.
Kuna watu wanamiaka 7 toka wafunge ndoa leo kila moja analala kitanda chake kwa muda wa mwaka sasa ukiuliza chanzo ni usaliti ndani ya ndoa.
Hata kifo cha naomi ni usaliti ndani ya ndoa
 
Hamis uko alipoo Majuto ni makubwa mno anatamani ile siku Angempa talaka tuu yaishee.
Hamisi ni Muislam kwanini asinge ongeza mke na Dini ina ruhusu tena Wake wa nne, Yeye angel mke mwingine tu mbona Dar pisi kali zipo nyingi tu tena angeo mke wa pili na angeishi nao pamoja, Wazee wetu hawakufanya matukio ya kikatili kwasababu walikua wana oa wake wengi utakuta Mwanaume kaoa wake 6 au 4 kwahiyo Mke mmoja akizingua anaamia kwa wengine.
 
Jamaa alianza kudanganya mahakamani kwamba hakumuua Naomi yupo atamtafuta
Huyo mwanamke naye alitakiwa atulie...wakati mwingine usicheze na hisia za mtu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…