Aliyeuawa na Mumewe 2019 kuagwa leo

Alimpenda na aliwekeza sana kwake...alafu huyu jamaa alipotokea hadi kufikia hapo alipo dah alishapiga hatua kubwa
Ni bora angeaachana na mwnaamke tu aendelee na maisha yake ,sema kila mwanadam na kichwa chake

Ova
 
kwani alibaki? mi nilidhani aliisha kabisa na majivu ndo jamaa akafanya mbolea kule aliko panda mgomba
 

Hiyo ni stori yake aliyoitoa kwa mwenzake gerezani

1 - akijua binqdamu mwingine aliyeshuhuhudia keshakufa

2 - amesema hayo wakati anasubiri hukumu!

Angewezaje kukiri kaua kikatili hukumu yake bado ?

Mahakama haikununua hiyo stori, ndo maana kapewa kitanzi.

Kwa saab kuchoma moto maiti sio kosa la kuua na kunyongwa. Amepewa kitanzi kwa kosa la KUUA KWA MAKUSUDI
 
Tuishi na wake zeta kwa akili kubwa sana, pale unaposensi huenda balaa litatolea ishi shamba mbali naye kwakuwa wanawake wameumbwa kuchukia kuishi shamba (baadhi hasa wa mijini) basi atajitenga nawe utakuwa na amani.
 
Acha tuu mkuu.
 
Sasa baada ya kumnyonga huyo jamaa, halafu Naomi anatokea itakuwaje?
Walfanya DNA kwenye majivu ,alipo chomewa ,alipozika majivu na kupanda mgomba,na kudhibitisha ni majivu yenye mabaki ya marehem Naom ,Kwa iyo no where Naom can be found apart from paradise / hell
 
HAMIS NI SHUJAA WA MIAKA YETU HII

Mithali 16:18–19
18 Kiburi hutangulia maangamizi, roho ya majivuno hutangulia maanguko.
19 Ni afadhali kuwa mnyenyekevu katika roho miongoni mwa walioonewa kuliko
kugawana nyara pamoja na wenye kiburi.
 
Katazame video za mtoto wao jinsi alivo kwenye huu msiba..yaani kabla hujafanya lolote kama una watoto watazame usoni, ufikirie maisha yao baada ya maamuzi yako yatakuaje!?
Hamis namwelewa maana hawa watu akili na mioyo yao acha tu! Ipo siku na mim

Yani nikuoe unirudie nyumbani kwangu saa 7 usiku umelewa na maneno ya shombo.

Hata mie nakutoa kichwa.
Hivi mbona story ni vice vers mwanaume ndo alirud asubuh baada ya kutokua nyumbani siku 5 alikua kwa mage..na mzozo ulianza baada ya simu ya mwanaume kuita alikua anapigiwa na huyo mage...gather your facts kabla hamjaongea upuuuzi 😏
 
Aliua
Mkewe alipoanguka na kufariki hakutakiwa kumchoma - angeacha hivyo na shitaka lake lingekuwa kama Lulu vs Kanumba

Yaani kuua bila kukusudia
 
Aliua
Mkewe alipoanguka na kufariki hakutakiwa kumchoma - angeacha hivyo na shitaka lake lingekuwa kama Lulu vs Kanumba

Yaani kuua bila kukusudia

Kwa hiyo amehukumiwa kifo kwa kuchoma maiti moto ?

Nadhani unapotosha

Tofautisha kosa la kuua na la kuchoma maiti

Na hiyo stori kofi moja sijui ngumi moja akakwepa akaanguka akafikia kichwa akafa HIYO NI STORI YAKE YEYE HAMISI!

Hamisi kaandika kitabu au Boni Yai sijui kaandika kitabu based on hadithi ya Hamisi mwenyewe!

Ukweli anaujua Mungu na Hamisi.

Hamisi mwenyewe hana credibility, mwanzo aliongopa kwamba Naomi kapotea. Hamisi ni mwongo mwongo. Why believe his story ????
 
Moshi Kilimanjaro au Upareni? Mbona Wapare hampendi kutaja kwenu?
Wapare Malaya Sana
hakuna mwanamke ambaye sio malaya.inategemea na yeye mwenyewe.jiulize uyo uliye nae wewe ni mtu wa ngapi kwake?
 
Kilichofanya afungweni.hili.la.kumchoma moto!Angereport police pengine angefungwa miaka.michache akatoka-alifanya ujinga,Likishatokea kama.hili.dont panic...Na pia.Mwanamme ukiona.mwanamke.anaongeza.amri.ya 11 kwenye Mausiano Achana nae. Ukifosi kubaki.kwenye Mausiano haya ndo matokeo yake
 
Kimbia kwa Usalama wako, tena Hama nyumba kapange self container room moja chaaap.
Piga kazi mbwa inayokusumbua itapata akili baadae wewe ushapata mke mwingine
Akili zikimrudia anakukuta wewe ushamove on! Mwanamke hisia zake ndo kipaumbele chake akumbuki wala.kujali hisia au mwana.mme kujitoa kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…