Nilishangaa hilo neno "unataka baba yako ndio asafiri?"Kwahiyo ikakutachii ?
Du! Hatari sasa!Riheso ilifanyika na kile alichozungumza ndio kilipangwa kwenye riheso aje kuongea ili watu muumane Kama hivi [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukute aliyewaleta Masanja ndiye aliyeandaa Speech ya jana[emoji23]
Na nyie mnajitafutiaga BP ,?Mnafuatliaga ya Nini hayo?!!!?Masanja sio mchekeshaji ni mcheshi hivi ni vitu viwili tofauti
Huyo mama alivyo inawezekana hajasikiaHata Mimi nimehudhiria kwa runinga
Masanja katutia aibu, katukana hadharani tena mbele ya Maraisi. Sijui mama kajisikiaje kusikia maneno Yale.
Kwaya zenyewe wanaimba wamevaa ijabu na kukatika viuno na ija u zao wawalete na masister wakatike viuno Kama ni hivyoYaani sherehe haikua nzuri kabisa aise nafkiri kuna tatizo flan waandaji wametuletea kwaya za vijijini halaiki sio nzuri kama tulizo wahi kuona
Mbona ya kawaida Sana hiyo....Nilishangaa hilo neno "unataka baba yako ndio asafiri?"
Sidhani hata mama Samia alishawahi kujibu hizo tuhuma kwa maneno kama ya Masanja!
Ile ni hadhara yenye watu wa kitaifa na kimataifa, hivyo sidhani kama ni vyema kuleta vichekesho kwa matusi!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Katika hafla kubwa ya Kitaifa kama iliyofanyika Le ambayo camera za mataifa Mbalimbali zinaelekezwa Kwetu tumeshindwaje kuleta watu wenye akili wanaoweza kuitangaza nchi tunaleta watu Wanafoka na kuongea vitu visivyoeleweka. Mtu huyu anaongea as if yupo kwenye mkutano wa Kijiji. Bora tungewapa Maliasili hizo dakika watuonyeshe rasilimali zetu za kitalii.
Kama tuliona Masanja ana umuhimu tulishindwa kumuuliza anakwenda kusema nini? Aliyempa tenda Masanja anafanya nini Ofisini?