Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Makonda ndiye mhalifu pekee aliyetajwa na Serikali ya US kuwa alikuwa akiwanyima watu haki ya kuishi.

Nakubaliana na mleta mada, ukilinganisha uovu wa Makonda na Sabaya, Sabaya ataonekana ni malaika.

Haki itendeke. Sabaya ni jambazi la kutumia silaha, Makonda aliwanyima watu haki ya kuishi (aliondoa uhai wa watu)
Wote ni washenzi tu.....baba yao na yeye alikuwa mshenzi mmoja tu kutokufuata sheria za nchi. Kwa hili mama Samia anakula tano zangu... Jiwe alikuwa msenge sana ru kutesa na kuua watu bila kosa..ben sàa 8? akataka kumuua Lissu akashidwa akafa yeye..kuku tu.
 
Ndiye kiongozi pekee aliyepigwa ban na Marekani. Iundwe tume kumchunguza kisha ashtakiwe
Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.

Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji

Kama Paul Makonda hatachukuliwa hatua za kisheria, basi itakuwa ni DOUBLE STANDARDS
 
Paul makonda ni gaidi..alimpiga marisasi lissu aisaee...huyu dogo na roho mbaya saana kwa kweli

Watoto wa Jiwe walijua baba yao hatakufa..kafaaa na watanzania tuliomba sana corona ifanye yake....ikatenda...
👍👍👍😂😅
 
Siku zake zaja. Hata baada ya miaka 30 atakuwa deported popote atakako kuwa. Jinai haifi
 
Paul makonda ni gaidi..alimpiga marisasi lissu aisaee...huyu dogo na roho mbaya saana kwa kweli

Watoto wa Jiwe walijua baba yao hatakufa..kafaaa na watanzania tuliomba sana corona ifanye yake....ikatenda...
Msije mkasababisha Bashite akakimbilia Marekani.
 
Kupatikana kwa hatia kwa aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai ole Sabaya kunarejesha upya yaliyotokea chini ya utawala wa awamu ya tano ambapo baadhi ya wataeule wa mwendazake walijiona miungu watu wasioweza kuguswa au kufanywa lolote.

Mmojawapo wa hawa wateule ni Paul Makonda au Daudi Albert Bashite aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar. Wapo wanaosema ndiye alikuwa nyuma ya shambulizi dhidi ya Tundu Lissu na kupotea kwa baadhi ya watanzania. Je ni kweli kuwa Sabaya ndiye alifanya ujambazi peke yake wakati Makonda alitenda zaidi?

Je ni lini Makonda atepewa haki yake kwa kushushiwa hukumu anayostahili? Leo tuanze na Makonda kujua ni lini mamlaka zitamnyang'anya uungu mtu wake?

Tukimpata Makonda, tunaweza kuwajua hata wale watu waliojulikana kama watu wasiojulikana wakati wanajulikana?
 
Kupatikana kwa hatia kwa aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai ole Sabaya kunarejesha upya yaliyotokea chini ya utawala wa awamu ya tano ambapo baadhi ya wataeule wa mwendazake walijiona miungu watu wasioweza kuguswa au kufanywa lolote. Mmojawapo wa hawa wateule ni Paul Makonda au Daudi Christian Bashite aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar. Wapo wanaosema ndiye alikuwa nyuma ya shambulizi dhidi ya Tundu Lissu na kupotea kwa baadhi ya watanzania. Je ni kweli kuwa Sabaya ndiye alifanya ujambazi peke yake wakati Makonda alitenda zaidi? Je ni lini Makonda atepewa haki yake kwa kushushiwa hukumu anayostahili? Leo tuanze na Makonda kujua ni lini mamlaka zitamnyang'anya uungu mtu wake? Tukimpata Makonda, tunaweza kuwajua hata wale watu waliojulikana kama watu wasiojulikana wakati wanajulikana?
Daudi Christian Albert Bashite
 
Back
Top Bottom