Huo uwasilishaji tu,ulitaka nikuwekee Audio ya Bashite akimwambia huo upupu Jiwe?....Comment yako imetawaliwa na neno la "Nasikia" JF huenda kwa fact na sio kutumia neno nasikia,unasikia kutoka wapi? hearsay haiwezi kutumika as an evidence.
Kwani hakuvamia studioUnaushahidi ukiitwa mahakamani utatoa au chuki zako tu binafs
Hakuna jiwe litakalo baki juu ya jiwe!,Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.
Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
Kama Paul Makonda hatachukuliwa hatua za kisheria, basi itakuwa ni DOUBLE STANDARDS
Unao ushahidi wa hiki ulichokiandika?Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.
Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
Kama Paul Makonda hatachukuliwa hatua za kisheria, basi itakuwa ni DOUBLE STANDARDS
Zile zilikuwa sarakasi tu za utawala ule.Makonda alitia fora alipokuwa anatoa listi ya wauza unga. Eti jumatatu muende Polisi mkaripoti mseme kwanini mnauza sembe.
Ndugu lunatoc unayo elimu kidogo kuhusu sheria au umeandika kwa kuwa ulihitimu la Saba B?Watanzania ni watu wajinga sana.
Wote uliowataja hapo takribani wengi bado wapo hai kwanini wasiende kumfungulia mashtaka Hadi serikali Tena raisi ndio aende kufungua mashtaka !
Na wakati huo huo mnataka nguvu ya raisi ipunguzwe kikatiba!
Hamasisha watu waende kufungua kesi mahakamani acheni ujinga watanzania
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Pumbavu mkubwa wewe Kamanda Asiyechoka, kahaba ni Mama yako akiyekuzaaWeka ushahidi ulioshiba we kahaba.
Poa poa tumekusikia. Turudi kwenye mada husika.Gaidi pia wamnyonge , wanachelewesha Sana
Oneni li zombie hili! Yaani hata halielewi kitu gani kinaendelea, watu kama wewe chazachaza ni bora kufuga kuku utakula mayai kuliko yeye!pumbavu ,anampigania nani Yule gaidi! labda familia yake,taifa hili halijakosa wazalendo mpaka ,utuletee upuuz huu!!,Yule ni gaidi sawa na magaidi wengine,ova!!labda anakupigania ww na familia yako!!sh.....w.....a......in kabisa!!
Nawe kuna kiumbe utakuta anakuita mumeJf imejaa masenge humu,
Makonda anaweza kua mharifu ila hawezi kufungwa Kwa tetesi za wajinga...
Kama lengo lenu ni kumfunga, kusanyeni ushahidi
Mpeleke mahakamani...
NB: kosa kubwa alilofanya makonda ni kuwagusa mashoga na wauza madawa, ambao kila mtz anajua ni kina nani.
Senge no 1.Nawe kuna kiumbe utakuta anakuita mume
Bado Paul Makonda aka Daudi BashiteYa Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.
Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
Kama Paul Makonda hatachukuliwa hatua za kisheria, basi itakuwa ni DOUBLE STANDARDS
Haaaaassssss Jaribu kufanya vitu vingine vyenye msaada kwa maisha yako. Au tafuta sababu za kweli na sio hisia zikuongoze. Mnajaza server ya JF bila sababu.Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.
Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
Kama Paul Makonda hatachukuliwa hatua za kisheria, basi itakuwa ni DOUBLE STANDARDS
Acheni wivu wakike fukirieni maisha yenu mnalala mkiotea mabaya wenzenu... Mdoto za kuku kwa mweweClouds ndiyo inabidi wakafungue kesi, sijui Kwa nini Hadi Leo wanashangaa shangaa