Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Wote ni washenzi tu.....baba yao na yeye alikuwa mshenzi mmoja tu kutokufuata sheria za nchi. Kwa hili mama Samia anakula tano zangu... Jiwe alikuwa msenge sana ru kutesa na kuua watu bila kosa..ben sΓ a 8? akataka kumuua Lissu akashidwa akafa yeye..kuku tu.
 
Ndiye kiongozi pekee aliyepigwa ban na Marekani. Iundwe tume kumchunguza kisha ashtakiwe
 
Paul makonda ni gaidi..alimpiga marisasi lissu aisaee...huyu dogo na roho mbaya saana kwa kweli

Watoto wa Jiwe walijua baba yao hatakufa..kafaaa na watanzania tuliomba sana corona ifanye yake....ikatenda...
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜…
 
Siku zake zaja. Hata baada ya miaka 30 atakuwa deported popote atakako kuwa. Jinai haifi
 
Paul makonda ni gaidi..alimpiga marisasi lissu aisaee...huyu dogo na roho mbaya saana kwa kweli

Watoto wa Jiwe walijua baba yao hatakufa..kafaaa na watanzania tuliomba sana corona ifanye yake....ikatenda...
Msije mkasababisha Bashite akakimbilia Marekani.
 
Kupatikana kwa hatia kwa aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai ole Sabaya kunarejesha upya yaliyotokea chini ya utawala wa awamu ya tano ambapo baadhi ya wataeule wa mwendazake walijiona miungu watu wasioweza kuguswa au kufanywa lolote.

Mmojawapo wa hawa wateule ni Paul Makonda au Daudi Albert Bashite aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar. Wapo wanaosema ndiye alikuwa nyuma ya shambulizi dhidi ya Tundu Lissu na kupotea kwa baadhi ya watanzania. Je ni kweli kuwa Sabaya ndiye alifanya ujambazi peke yake wakati Makonda alitenda zaidi?

Je ni lini Makonda atepewa haki yake kwa kushushiwa hukumu anayostahili? Leo tuanze na Makonda kujua ni lini mamlaka zitamnyang'anya uungu mtu wake?

Tukimpata Makonda, tunaweza kuwajua hata wale watu waliojulikana kama watu wasiojulikana wakati wanajulikana?
 
Daudi Christian Albert Bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…