Aliyoyafanya Egonga yapo duniani kote sema ni siri tu! Ila watu wengi sana wanatafunana maofisini kimya kimya

Huyo Bartasar kapaishwa viral kutokana na wivu wa kiume wa kijamii, hakuna kingine.

Wanaume hupenda kulaani midomoni mwao matendo wanayoyapenda wao kuyafanya kwa siri!

Hasa jambo ambalo yeye hulifanya sirini akijiona mjanja, likifanywa na mwingine tena hadharani kwa kufuru, lazima limuume na kujikuta akilaani.

Mi mwnyewe ni mashahidi wa haya niongeayo.:
Nilipokuwa kwenye baraza la usuluhishi, likaletwa suala la fumanizi ama ugoni, nilitumia nguvu kubwa kumshawishi mtuhumiwa ili akubali tuhuma na aeleze ukweli wa namna alivyofanya, ili tuyaweke sawa yaishe.

Hiyo kwangu ilikuwa ni starehe katika kuishindanisha nafsi yangu kwa matendo yangu ya siri na matendo ya huyo jamaa.

Akikubali kukiri, nitamng'ang'aniza ataje hadi idadi ya magoli aliyofunga kudadeki.

Akitaja kunizidi mambo yangu, nilijikuta napoa ghafla, nakosa amani, kisha najikuta nikipandisha wivu na chuki kwa kunyang'anywa ubingwa!

Nikipanndisha hasira, kwa anayenitazama atajua mwanamaadili nimekerwa sana na maelezo ya matendo ya huyo mhuni, kumbe mimi nimekerwa na kuzidiwa kete kwa idadi ya ufungaji wake wa magoli na kunifanya niwe dhaifu kwake.

Kwa sakata hili, wahuni wote wamedhalilishwa kwa ufanisi wa performance ya jamaa katika video.

Kila anayezitazama clips zile anakataa, anasema 'hapana, jamaa hawezikata mauno namna hiyo, 'AI' imechakachua uhalisia wa ufanisi' hawakubaliani kabisa!

Sasa wadhani ubishi na kushangaa shangaa huko kunatokana na nini, wivu.
 
Tuyaache ndugu yangu mambo yakibumbuluka huko maofisini ni aibu kuna watu tunawaaheshimu lakini mambo wanayofanya huko maofisini ni kufuru! Yaani kufuru!
 
Nyie oeni sisi tuwa egonga wake zenu maofisini

Hamjasema bado mpk mseme 😀
 
Mkuu dunia ilikofikia Uzinzi ni jambo la kawaida kabisa!Kila nchi kila mahali. Ni watu wachache sana duniani ambao bado wanahofu na Mungu.
Uzinzi maofisini,migodini,nyumba za Ibada,kwenye familia,baani,uchochoroni,nk ni kawaida.
 
Halafu wengi hawavai chupi
 
Maadli yake yapo chini Sana .
Maadili ya kistaarabu mwananmke asitoke kutafta chakula; akitoka tu huwa lazima akalizue balaa ...ni wachache sana wanaojiheshimu maofisini, na watu hao wanaume huwa tunaambizana kabisa yule dada flani na flani anajiheshimu ...lakini kile pale chupi mkonononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…