Aliyoyafanya Egonga yapo duniani kote sema ni siri tu! Ila watu wengi sana wanatafunana maofisini kimya kimya

Mungu akupe rehema usimtaje ila ni aibu aibu ... Anayopostigi Mange kimambi huko ukweli mtupu tena kipindi hiki ndo vimezidi bora kipindi cha magu
Bro ni hatari... Sasa ubaya kuna mke wa mtu anajiandaa kumlipua yeye ndie katusanua yote hayo.
Anataka afanye ili kumkomoa kwani baada ya kukataliwa penzi kaamua kumuhamishia kitengo kizuri.
 
Kuna jambo wengi hawajifunzi hapa,nini lengo la shetani ktk hili jibu ni kusambaratisha ndoa kola mtu aone ndoa mbaya hakuna sehem yenye vita kwa sasa kama ndoa,huyu jamaa kafanya haya kwa kujua na video haijavuja kwa bahat mbaya,jiulize kwa nn alirekodi akijua anafanya zinaa na wake za watu,hawa watu wengi wenye fedha na wadhifa kwa sasa wengine hutafta kwa shetani sasa huko kuna masharti yake kama haya hakuna hata jambo la bahat mbaya hapo karekodi kwa makusudi ila hao wadada hawakujua wanarekodiwa alificha kamera leo hii aibu onawakuta ndoa nyingi ziko matatani na watakao teseka ni watoto,ila kama mimi nisingemuacha mkewangu kwa sababu hiyo,na lengo ni familia iwe pamoja hakuna malezibora kama baba na mama wako pamoja rahasana naomba Mungu awalinde asiwepo mtu wa kumuacha mkewe kwa Jina la Yesu
 
Acheni kumsingizia shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…