Ally Hapi: Kinana ni mtu mwenye uwezo mkubwa, uteuzi wake ni sahihi

Ally Hapi: Kinana ni mtu mwenye uwezo mkubwa, uteuzi wake ni sahihi

Ni muhimu kuwa tunaweka akiba ya maneno.
 
Watu walitaka Hapi aendeleze msimamo uleule ili amwagwe,cjui ada za watoto wake watamsaidia kulipa,kuwa na msimamo sio jambo rahisi kama washabiki wa siasa wanavyopenda.Hata Mbowe na misimamo yake kwenye swala la kumkaribisha Lowasa alikula matapishi yake mwenyewe.
Kuna msemo unasema "don't out smart your Boss".
 
Kwasasa Anaangalia Tonge Nyama
Akibwata Anatupwa Nje Sasa Hivi
 
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi amesema kuwa Abdulrahman Kinana ambaye jina lake limependelezwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni mtu mwenye uwezo mkubwa na kuwataka kuachana na mambo ya nyuma.

Kauli yake hii inakuja kutokanana na swali aliloulizwa na wanahabari nje ya ya ukumbi wa Jakaya kikwete unakofanyika mkutano mkuu wa CCM jijini Dodoma ambapo amesema kuwa mambo yaliyopita hayana msingi kwa sasa.

"Hakuna ubishi juu ya uwezo wa Mzee Kinana" ameeleza Hapi

Hapi ameeleza kuwa Kinana ni mtu mwenye uwezo, maarifa na uzoefu mkubwa kwenye siasa na ni mwalimu kwa watu wengi kwenye chama hicho.

"Kama vijana ambao tunaendelea kujifunza kwenye siasa za chama mambo ya nyuma nadhani hayana msingi kwa sasa hivi" aliongeza

PIA, Soma=> Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

It was too little , too late.
Ange issue a public apology kwa kuwatukana enzi ya mwendazake.
 
Huenda shida sio kwenye utendaji wake wala uongozi wake bali ni makando kando mengine ambayo yalifanya aondoke; Perception kama watu wanadhani (hata kama sio kweli) kwamba ni mpigaji inapelekea kuonekana kwamba CCM ni chama cha Wapigaji yaani majambazi
Sasa kwani sio majambazi?
 
Twende kwenye KATIBA MPYA NA TUPATE TUME HURU YA UCHAGUZI ILI UONE UNAFIKI NA UPUMBAVU NDANI YA NCHI HII UTAKAVYOYEYUKA WALA WATU HAWATAAMINI.NA UZURI RASIMU YA WARIOBA AMBAYO NDIO KAULI YA WATANZANIA WOTE,WOTE KABISA IPO.TUACHE UBINAFSI TUNYANYUE ILE RASIMU IKOMBOE TAIFA LETU.Taifa linaloumwa sana na linaiona dawa na halita kunywa litakufa.Dawa ya Taifa la Tanzania ni RASIMU ya warioba, watanzania tumeongea vzr sana kwenye RASIMU juu ya Taifa letu.
 
Siku hizi nimeacha kushangilia pale Kiongozi ninayemuona hafai akitenguliwa ama akihamishwa, Nikikumbuka ya Kingai roho inaniuma sana.
 
Back
Top Bottom