KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Kako kama "pthirus pubis". Chawa wa aina hii aking'ang'ania huko hatoki aslani.Haka kachawa kanafiki sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kako kama "pthirus pubis". Chawa wa aina hii aking'ang'ania huko hatoki aslani.Haka kachawa kanafiki sana!
Kuna msemo unasema "don't out smart your Boss".Watu walitaka Hapi aendeleze msimamo uleule ili amwagwe,cjui ada za watoto wake watamsaidia kulipa,kuwa na msimamo sio jambo rahisi kama washabiki wa siasa wanavyopenda.Hata Mbowe na misimamo yake kwenye swala la kumkaribisha Lowasa alikula matapishi yake mwenyewe.
😄😃Kinana Akisema Suu Happy Hana KaziSi alisema atamtwanga?
dah sidhani kama jamaa anapata usingizi vizuri,haya maisha haya kuna mengi sana ya kujifunza
HahaaNimesoma kichwa cha habari tu nikatabasamu.
It was too little , too late.Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi amesema kuwa Abdulrahman Kinana ambaye jina lake limependelezwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni mtu mwenye uwezo mkubwa na kuwataka kuachana na mambo ya nyuma.
Kauli yake hii inakuja kutokanana na swali aliloulizwa na wanahabari nje ya ya ukumbi wa Jakaya kikwete unakofanyika mkutano mkuu wa CCM jijini Dodoma ambapo amesema kuwa mambo yaliyopita hayana msingi kwa sasa.
"Hakuna ubishi juu ya uwezo wa Mzee Kinana" ameeleza Hapi
Hapi ameeleza kuwa Kinana ni mtu mwenye uwezo, maarifa na uzoefu mkubwa kwenye siasa na ni mwalimu kwa watu wengi kwenye chama hicho.
"Kama vijana ambao tunaendelea kujifunza kwenye siasa za chama mambo ya nyuma nadhani hayana msingi kwa sasa hivi" aliongeza
PIA, Soma=> Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?
Sasa kwani sio majambazi?Huenda shida sio kwenye utendaji wake wala uongozi wake bali ni makando kando mengine ambayo yalifanya aondoke; Perception kama watu wanadhani (hata kama sio kweli) kwamba ni mpigaji inapelekea kuonekana kwamba CCM ni chama cha Wapigaji yaani majambazi