Big hand to Ally hapi, kusema tu ya kwamba uchaguzi hautafanyika, ni kosa kamilifu la jinai.
Unapinga mipango ya serekali kwa njia ambazo pengine huenda zikahusisha ugaidi/uvurugaji wa amani na usalama wa watu.
Magaidi walishaachiliwa na utawala wa awamu ya sita akiwemo gaidi la kubambikiwaziwa Mbowe na wale wengine waliokua wamekamatwa na Kikwete awamu ya nne.
Huku kiongozi wao aliyekua akipokea pesa za misaada ambaye ndiye mshika kibendera au line mani wa uchaguzi chini na mkuu wa wale wasimamizi wa kuchagua akiwa amejiandaa kuvuruga huo mchezo .
Kutumia Jeshi la polisi kuua watu na kujeruhi watu kwa sababu ya watu wasiotii sheria na kanuni za uchaguzi kwa miaka 30 ni ushetani ambao siku moja watajisahau na kujikuta wanaumizwa wao kwa sababu ya kupigania maslahi ya mafisadi .
Mungu yupo hewani muda wote na ndiye anayweka watu wa kuongoza wengine kwa misingi ya haki . Nje ya Haki ni utawala wa wanadamu wenyewe na mashetani na majini kama tulivyoona yule mmoja alitumiwa majini na mashekhe ili ashinde maana hana ridhaa ya Mungu na ndio maana walishaweka mikakati kuwa Watashinda hata asipopenda Mungu muumba mbingu ,ardhi na rasilimali zote ikiwemo yeye mwenyewe na wapambe wake .
Kwa sababu Mungu hapendi wanaume mil.31 kutawaliwa na kuongozwa na mwanamke .
Jeshi la polisi kifuate sheria na katiba . Wawaache wanasiasa wafanye siasa zao na kutoa hoja zao. Kupinga maono ya chama chenye wananchi wengi nyuma yake kama Chadema ni upuuzi na kujilisha upepo kwa sababu unaigawa jamii .
Ila ni wazi kuwa Samia akitawala miaka mitano atakua amechokwa sana sana sana na watanganyika japo atakua tajiri namba moja wanamke Afrika nzima .
Madeni ya nchi yatafikia tril.100 mpaka 2030. CCM itakufa kabisa kabisa kabisa kufikia mwaka 2030 maana kizazi kipya kitakua kitazidi kufunguka na kujua ufisadi na hila za watawala . Kufikia wakati huo Hata mali zao zitakua zinajulikana vizuri maana itakua vigumu kuficha ukweli maana dunia inakimbia kasi sana katika teknolojia na uwazi .
Hapo chuki kubwa itazidi kupamba moto .CCM inaangalia uchaguzi huu bila kuangalia uhai wa Chama chenyewe baada ya awamu hii kuisha .
Pataibuka mashindano makubwa kati ya mafisadi ndani ya CCM watakaoungana na mafisadi ndani ya vyombo vya dola dhidi ya Wazalendo ndani ya CCM na wapinzani na wazalendo ndani ya vyombo vya dola .Patakuwa wamechangamka sana .
Traore kutoka Bukina Faso anaweza akatusaidia mawazo