Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

Watu wanasema kuwa mitandao ni jambo la hatari kwa kuweka kumbukumbu hapa duniani.

Ally Happy wakati yupo Iringa alitoa maneno makali na ya dharau kubwa kwa viongozi wetu wastaafu kisa alikuwa chini ya Magufuli.

Leo hii hao wazee wetu na Nape wamerudishwa ndani ya chama inabidi Happy aliye watukana basi awachie nafasi yake .
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu kiumbe kwa sasa bila kumeza valium hapati usingizi
 
Ally Hapi ni chizi kama machizi wengine
 
Vipi umerudi CCM? Umeikimbia Saccos ya CDM?
 
Leo msoga kwa mzee kikwete kuna ubwabwa.kama upo karibu sogea sogea eneo la tukio
 

 
Huyu bwamdogo nae alivimba sana. Kifo cha magufuli kimetoa funzo kubwa sana kwa wanasiasa wachumia tumbo.
 
Marehemu Mtani wangu wa Kihaya Ruge Mutahaba aliposema kuwa hapa duniani ogopa sana Mungu na Teknolojia aliona mbali mno na hakukosea ndiyo maana hata wengine tulimwona ni Nabii fulani hivi ( japo alikuwa ni Mtu wa dunia ) na hakujikita zaidi katika Masuala ya Kiimani ( Dini ) kama walivyo Manabii wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…