Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

Ally kabla ya kuingia ofisini mpigie simu Mzee JK msalimie,saa 4 mpigie Kinana mwambie umemtumia dagaa wa Mwanza kwenye Kisbo 🤣🤣🤣🤣
 
Jamaa alikuwa mtu makini sana
 
Muacheni Bana Dogo alikuwa anatetea ugali wake.
Hakujua kuwa kuna leo na kesho?

Leo hii wale watu aliokuwa anawabeza kisa wametolewa kwenye system na magufuli sasa wamerudi kundini.

Atajisikiaje siku anamkuta mzee Mangula meza kuu?
 
Vipi umerudi CCM? Umeikimbia Saccos ya CDM?
Kwakuwa hutumii akili zako ndiyo maana unauliza swali kama hilo.

Mimi siwezi hata kugusa rangi za lichama lenu la hovyoo
 
Hakujua kuwa kuna leo na kesho?

Leo hii wale watu aliokuwa anawabeza kisa wametolewa kwenye system na magufuli sasa wamerudi kundini.

Atajisikiaje siku anamkuta mzee Mangula meza kuu?
Alikuwaga team membe before kabla hajaamia Kwa Magufuli so kumponda membe lilikuwa ni suala la kimkakati . Hakuwa anamaanisha. He was just trying to prove his loyalty to Magufuli.

Muacheni Dogo apige Kazi wakuu msiwe na gubu kiasi hicho
 
Atavuna alichopanda sasa
 
Kila enzi na muda wake na hao wazee sio wanaomteua hivo sioni km kuna haja ya kuachia nafac yake
 
Alikuwa sahihi, tuna viongozi wengi wapuuzi na hawajuwi wajibu wao wakiwa kazini. Mfano Kinana, huyu jamaa alikuwa jambazi.....aliua sana tembo na wanyama wengine kuwauzia waarab na CCM wanalijuwa hili. Eti leo mnarudisha kibaka kuongoza chama, are they serious? Ukimwangalia tu usoni Kinana anaonekana ni jangili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…