Ally Kamwe bado ana utoto mwingi anaigharimu timu

Ally Kamwe bado ana utoto mwingi anaigharimu timu

Uwanja haukujaa,badala ya kyhanasisha mashabiki wajaze uwanha anaongea ujinga ujinga tu
Kwani marangapi timu zimekua zikijaza uwanja na zinafungwa ? Hivi uwa mna ongelea mpira wa miguu au vitu vingine.
Mbona Simba imekua ikifungwa na kutolewa apo Kwa Mkapa uku kauli mbiu ikiwa Kwa Mkapa atoki mtu.

Punguzeni u mbumbumbu mjikite katika mpira wa miguu.
 
Leo yeye na kundi lake la gongowazi wazi wenzake wamemshambulia na kumpiga mwanachama mashuhuri wa Simba Dr.Mohamed.Utani hawauwezi imebidi watupe ngumi.
Mimi Ni Yanga lakini Lile Kofi alilopigwa uyo kijana wa Simba sikulipenda, linatufundisha kitu.

Kuna video yake Moja uyo kijana aliwahi kutamka atawashughulikia baadhi ya vijana wenzake wa Simba ambao walikua wakitoa maoni Yao kwa kutofurahishwa na timu Yao ya Simba baada ya mpira kwisha wakiwa wanahojiwa na Wana Habari.

Kwa mtazamo wake alikua anahisi Wana idharilisha klabu.

Leo yame mkuta yeye (Mbabe) Kwa kushenyetwa Kofi.
Mpira ni mchezo wa hisia, tuwaache watu waongee yaliyo moyoni wapate nafuu, Ndivyo ilivyo Duniani kote kwakua watu wanatofautiana kubeba Matokeo.

Ndio maana Kuna watu wanajinyonga kwa ishu ndogo tu, ni maswala ya hisia.
Waacheni watu waongee ndio dawa ya kutuliza Maumivu.
 
Kama hawakuwa na timu ya ushindani hapo walifikaje ?? Mpira una matokeo 3 na kila mshiriki anastahili kushinda ikiwa itawezekana hivyo mimi sioni ajabu hapo
Mimi naesema haya ni shabiki wa Yanga.

Nikwambie tu, endapo AlHilal asingekuwa amefuzu ile mechi ya Mauritania tungefungwa tena zaidi ya goli mbili.
 
Kweli kabisa,ueye kashindwa kuhamasisha mashabiki kuujaza iwanja anaongelea mambo ya simba,uwanja mechi na Alger ulikuwa na gapes kibao
Yanga hatuna utamaduni wa kujaza uwanja so hakuna afisa habari ataweza hamasisha watu wakajae uwanjani yani siku ukiona uwanja umejazwa na Yanga lazima kuna tiketi zimegawiwa za bure Umechagua angle mbaya ya kubebesha lawama za timu kucheza vibaya.
 
Buahahahahahahhah
Jamani tatizo ni wale mashabiki wa nyuma mwiko..wana lugha mbaya..wamejaa kibri..hawana elimu hawajui waongee nini basi tabu tupu..baadhi yao lakini ni wengi mnoo wakihojiwa mpk unashangaa..
Mara tuletewe malaika tucheze nao..
Mara sijui nini
Kuanzia uongozi, wachezaji, wanachama na mashabiki kuna watu wawili ndio wenye akili tu.
 
Msemaji hana mchango wowote ndani ya dimba. Tusiwatupie lawama wasiohusika. Mkuu dili na ahmed ,Ally tuachie na miwani yake anatuchangamsha
 
asi yake inahitaji mtu makini mtu serious,Haji Manara hafai ila Ally Kamwe ndio hafai kabisaa

Kuna vitu hatakiwi kuongea ila ndio anavishikia bango,anavyotakiwakuongea ndio haviongei.

Anatujaza upepo mashabiki wa Yanga tofautina uhalisia.
Sasa mtu yupo live kwenye TV anasema"kama huhusiki, usilete pua yako pale"maneno yakihuni kabisa! Eti huyo ndio msemaji wa time! Elimu ya kuunga unga, Hana CV iliyoshiba,huyu ni kaliba za kina baba levo,mwijaku! Watu wa kupiga makelele! Hwkustahili kuwa na cheo kama hicho! Tatizo hata waliompa ajira hawakuangalia meritocracy! Kapewa kwa kujuana tu!
Mtu Hana hata shahada ya mass communication, kutoka reputable university kama UDSM! Mtu kasoma vyuo vya mtaani ambavyo, havifahamiki hata nje ya chalinze!
Pathetic
 
Nafasi yake inahitaji mtu makini mtu serious,Haji Manara hafai ila Ally Kamwe ndio hafai kabisaa

Kuna vitu hatakiwi kuongea ila ndio anavishikia bango,anavyotakiwakuongea ndio haviongei.

Anatujaza upepo mashabiki wa Yanga tofautina uhalisia.
Kama hivi
 

Attachments

  • SWAHILI WAVE - Maneno haya sio mageni jijini ___Daressalaam _Zuchu __Tanzania _SUMU__Shu _ShuC...mp4
    750.4 KB
Nafasi yake inahitaji mtu makini mtu serious,Haji Manara hafai ila Ally Kamwe ndio hafai kabisaa

Kuna vitu hatakiwi kuongea ila ndio anavishikia bango,anavyotakiwakuongea ndio haviongei.

Anatujaza upepo mashabiki wa Yanga tofautina uhalisia.
Yule jamaa kumbe ni mtoto wa mama
 
Back
Top Bottom