Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Mimi ni Yanga but kuna watu wa hovyo sana pale yanga. Kamwe ni mmoja wapo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ww ni show Gah na unatafunwa nyuma...... HAHAHAHAA USIHOFU MKUU SISI NI WATANI WA JADIKakosea
Ameomba radhi
Yameisha
Ni utani wa jadi tu mtu hachaguliwi Cha kutaniwa Wala sio tusi
Yanga na Simba Ni watani wa jadi
Utani hauchagui mtu, jinsia, Wala Rika
Au nyie Makolo mseme hadharani Kama hamtaki utani
Young Africans
Bingwa cafcc
Ally Kamwe aombe radhi kwa huo ujingaBAADA YA KUDHIHAKIWA NA ALIKAMWE, JUMA MGUNDA AMPA JIBU
🗣️"Yanga ni Club yetu pekee Tanzania inayotuwakilisha kwenye fainaly hii ya CAF na kwa bahati iliyonjema inacheza na Club Inayotoka nje ya nchi yetu.
🗣️Sijui kinachopelekea mimi kuwa miongoni mwa kampeni hii ya matusi na kunidhalilisha Nilidhani kampeni itakuwa ni kushinda fainally, kuliko hiki alichokifanya Mwanangu Ally Kamwe.
🗣️Namuombea kwa Mungu awe na mwisho mzuri, mimi nimeshuhudia watu wengi wakifanya kazi Yanga na Simba na sasa wapo nje ya mfumo.
🗣️Kama nilipaswa kutukanwa ili Yanga ishinde basi nimekubali ili Taifa langu lijivunie .
🗣️Tusiposhinda kesho nitashangaa sana kwanini tumefungwa wakati kilichotakiwa kifanywe kimefanywa juu yangu na familia yangu" Kocha Juma Mgunda.
Akiwa ktk kampeni za mechi ya tarehe 28/05/2023 huko Zakhiem Mbagala aliwauliza mashaabiki kati ya "Mgunda na andazi" utachagua nini. Mashaabiki wakaitikia "andazi" . Hakutosheka akauliza tena"kati ya wasimamizi wa Feisal na andazi utachagua nini. Mashaabiki tena wakajibu "andazi".
Sasa mimi kama mtu mzima naona Ally Kamwe alichofanya ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa malezi na makuzi ya wazazi wake. Huwezi kumlinganisha mtu mzima mwenye umri sawa na baba yako na "andazi".
Mgunda amekuwa Hana utani wa Simba na Yanga hata ktk media sjawahi kumskia akitoa maneno ya shobo kwa Wana Yanga. Iweje leo mbele ya watu tena wa rika tofauti tofauti umlinganishe na andazi.
Haya sasa kakujibu kiutu uzima kama baba. Kazi kwako.
Wajinga mko wengi kwahiyo hili Jambo nalo limekuwa na laana?, Ujuha mwingine bana. Kwahiyo wewe hujawahi ambiwa bora Ng'ombe kuliko wewe?.Hii ni laana ya moja kwa moja
huo ndio utani wa jadi wenyewe, haina tofauti na aliyebeba jeneza kuingiza uwanjani.Akiwa ktk kampeni za mechi ya tarehe 28/05/2023 huko Zakhiem Mbagala aliwauliza mashaabiki kati ya "Mgunda na andazi" utachagua nini. Mashaabiki wakaitikia "andazi" . Hakutosheka akauliza tena"kati ya wasimamizi wa Feisal na andazi utachagua nini. Mashaabiki tena wakajibu "andazi".
Mgunda amekuwa Hana utani wa Simba na Yanga hata ktk media sjawahi kumskia akitoa maneno ya shobo kwa Wana Yanga. Iweje leo mbele ya watu tena wa rika tofauti tofauti umlinganishe na andazi.
Haya sasa kakujibu kiutu uzima kama baba. Kazi kwako.
Ukisha kuwa mke wa boss unasahau majukumu yako, unaona ushavuka level za kazi yako.Mgunda kaongoe maneno mazito sana. Kwani Ali Kamwe alianza vipi hadi kufikia kwa Mgunda? Mbona mechi ni Yanga vs USM Alger na bora hata angekuwa kamtupia madongo Ahmed Ally tungesema labda karudisha madongo. Sasa huyu baba wa watu kamuanzia nini?
Awe mara ngapiiii? Kutwaa wanagombana mashavu mbonyeo atoke huko kisa shabiki wa simba, hajui yule ni shemu pendwaa wa mumewe lol.Yule mtoto kama sio Shoga sijui asee ila ana vinasaba vyote
Analiwa kweli kwani uongo, lol.Acheni kuchafua taswira za watu ivi mnapataga faida gani?
Weee kwani ndio hivyo?Ukisha kuwa mke wa boss unasahau majukumu yako, unaona ushavuka level za kazi yako.
Muulize Manara atakuambia alivyopelekewa moto na Karia baada ya kuchutama.Aly ameomba radhi , amejua kama amekosea na atamuomba radhi kadri siku zinavyoenda mbele.
Lakini sasa ajenda itabadilika na kumshambulia Aly Kamwe .
Tunakula kakisea lakini kaomba asamehewe kuna binadamu ambaye hafanyi makosa?
Naomba Tu Kesho yanga tushinde kwa sababu tukifungwa watu wataanza kusema ni laana za Mgunda na Aly atakuwa kwenye kikaango kikubwa Sana.
Kila la kheri YANGA , Muungwana akivuliwa nguo huchutama Aly kachutama kesi iishe.
Kwahiyo sikuiz ukiwa na mshikaji wako boss kama mo teyar analiwa? Mimi sitaki kuaminiAnaliwa kweli kwani uongo, lol.
Ni kweli, kamwe, priva, takadini wote wanaliwaa na maboss zao.Na ni mashoga kweli hzi haziwezi kuwa kauli za kiume
Katika watu ambao kabla ya kuongea napima maneno yangu ni watu wazima.BAADA YA KUDHIHAKIWA NA ALIKAMWE, JUMA MGUNDA AMPA JIBU
🗣️"Yanga ni Club yetu pekee Tanzania inayotuwakilisha kwenye fainaly hii ya CAF na kwa bahati iliyonjema inacheza na Club Inayotoka nje ya nchi yetu.
🗣️Sijui kinachopelekea mimi kuwa miongoni mwa kampeni hii ya matusi na kunidhalilisha Nilidhani kampeni itakuwa ni kushinda fainally, kuliko hiki alichokifanya Mwanangu Ally Kamwe.
🗣️Namuombea kwa Mungu awe na mwisho mzuri, mimi nimeshuhudia watu wengi wakifanya kazi Yanga na Simba na sasa wapo nje ya mfumo.
🗣️Kama nilipaswa kutukanwa ili Yanga ishinde basi nimekubali ili Taifa langu lijivunie .
🗣️Tusiposhinda kesho nitashangaa sana kwanini tumefungwa wakati kilichotakiwa kifanywe kimefanywa juu yangu na familia yangu" Kocha Juma Mgunda.
Akiwa ktk kampeni za mechi ya tarehe 28/05/2023 huko Zakhiem Mbagala aliwauliza mashaabiki kati ya "Mgunda na andazi" utachagua nini. Mashaabiki wakaitikia "andazi" . Hakutosheka akauliza tena"kati ya wasimamizi wa Feisal na andazi utachagua nini. Mashaabiki tena wakajibu "andazi".
Sasa mimi kama mtu mzima naona Ally Kamwe alichofanya ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa malezi na makuzi ya wazazi wake. Huwezi kumlinganisha mtu mzima mwenye umri sawa na baba yako na "andazi".
Mgunda amekuwa Hana utani wa Simba na Yanga hata ktk media sjawahi kumskia akitoa maneno ya shobo kwa Wana Yanga. Iweje leo mbele ya watu tena wa rika tofauti tofauti umlinganishe na andazi.
Haya sasa kakujibu kiutu uzima kama baba. Kazi kwako.
Mdaaa mbna dear wala sio siri, uzuri ukiwa unaliwa kuna hulka Fulani inajionesha hata ujifiche vipiii.Weee kwani ndio hivyo?