Ally Kamwe: Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani

Watu wanasherehekea Toyota cup wengine wanahuzunika kwa kupatikana Toyota cup
 
Dakika za mwisho mwisho pale Simba aliakuwa akianzisha challenge anaziita Manara na Simba. Nikajua huyu jamaa sikio linataka kuzidi kichwa. Kweli hakuchukua round
Huyu jamaa ni tatizo. Tutarajie migogoro ni TFF ikirejea upya, tutarajie migogoro na waandishi wa habari.

Kila anaposimama huyu jamaa expect migogoro tangu UVCCM, pale Simba na hata maisha yake tu binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…