Ally Kamwe: Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani

Manara si apumzike jamani, anataka kufosi kuonekana anaweza hiyo kazi wakati muda umemtupa mkono. He needs to accept the change! Na uzuri klabu imefanikiwa sana wakati yeye kafungiwa hivyo Hana sababu ya kutaka kufosi usemaji, shubaamiiiittt
 
Mitandaoni kote leo watu wameumizwa na hii habari na hawamtaki Manara. Haji Hebu pumzika bhana, tunajua unatafuta kutrend kupitia timu yetu.. Tunapoteza watu makini Kama Ali Kamwe kwa ajili ya Haji ambaye umri umemtupa mkono. Tunahitaji kijana wa kuendana na mabadiliko.
Dah!
Hii habari sijaifurahia!
Hajimanara sijawahi kumkubali hafai hana nidhamu matusi na kejeli zimemjaa
Alikamwe ni mtu na nusu anaweza kutuchangamsha pia n
 
Alifanyiwa antonio nugaz watu wakaona fresh
 
Ukiangalia ile press conference unaona kabisa huyo Tupinkele Manars ni tatizo. Mbaya zaidi hana hekima.
Uongozi wa Yanga unapaswa kuhakikisha haumruhusu huyo mtu kuwa sehemu ya wafanyakazi wa Yanga.
Manara anaji position kama the most important and strong person kwenye club kuliko yeyote, anajiona yeye kama kuna mtu wa kumwambia chochote pale Yanga basi GSM pekee.
Huyo Kirusi aondoke, hatuwezi tukaongelea transformation ya Club huku ukikumbatia watu aina ya Manara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…