wagagagigi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2014
- 890
- 985
Kwani ukiwa CCM unapoteza uzanzibar? Sikiliza unposema vibaraka wa znz au wenye asili ya Tanganyika tayari unaleta uibaguzi kama ule wa uchotara. Angalia shilingi pande zote ndugu yangu
Wznz walio wengi kinawashinda nini? Mwiteni makamu wa Rais arudi nyumbani, na wale wa Dodoma wasije. Walioko taasisi za uungano warejee nyumbani. kipi kigumu
Muungano utakaodumu unatakiwa uwe wa watu kwa manufaa ya watu, kamwe usiwe wa viongozi. Rasimu ya Warioba ilitoa mapendekezo mazuri kuhusu muundo wa muungano lakini kwa sababu ilitishia kupunguza nguvu ya watawala wakaanzisha mizengwe na kuibadilisha maudhui yote.Mimi naona tunauhitaji muungano japo wadau wa muungano wanapaswa kuamua wenyewe waungane kwa mfumo upi na sio yale mambo ya uchawi wa kuchanganya udongo.
Muungano huu umeingia mikikimikiki na bado upo,hii ni ishara kuwa unaweza pia kuhimili referendum.
Hatuna haja ya kuendelea kuuweka vidonda japo tuna fursa ya kuutazama upya.
Kama Nchi za Ulaya zenye nguvu zinaungana kwaajili ya usalama na uchumi, na sisi wachanga hatuwezi kukwepa.
Tuupinge ule uchawi wa kuchanganya udongo, tuanzishe muungano wa kisasa na wenye faida kwa pande zote.
Ukweli si masimamngo, unabaki kuwa ukweli ndiyo maana nimekuomba unipe namba za miezi 3 tu uiliyopita mchango wa znz ni upi?ccm wote wamepoteza sifa ya kuwa wazanzibari kwa kuwa wao hata kama wanatukanwa hawajali... wanachojali ni matumbo yao tu yanajaa sasa hivi... kwani huyo kessy alianza leo hayo masimango?
Ukweli si masimamngo, unabaki kuwa ukweli ndiyo maana nimekuomba unipe namba za miezi 3 tu uiliyopita mchango wa znz ni upi?
Nikauuliza mgonjwa apelekwe nje na wizara ya afya ya SMZ, bili alipe Mtanganyika, hiyo sawa?
Nikakuuliza watoto wa znz wanasoma bure, wanaolipa kodi bara wanadaiwa, hilo sawa?
Nikakuambia kugawana mabalozi sawa, 10 watatoka znz. Lakini pia znz ihudumie balozi hizo
Nikaongeza, wale wabunge wanaosema hovyo wanalipwa na SMZ? Wanaonewa wapi?
Ajira za muungano ni za Tanganyika bado wznz wanalipwa PAYE kwa kupunguziwa mzigo wa unemployment, wapewe nini Zaidi?
Mbunge Kessy anawaeleza ukweli, ukweli mtupu. Zama za 'tutavunja muungano' zimekwisha.
ZNZ sasa isimame kuchukua dhamana ya watu wake, taasisi zake na mambo yake. Kule wasikoweza tutawasaidia, wanapoweza japo kidogo watusaidie maana mchango haupo
Natamani tungekuwa na Kessy wengi wa kuwapa ukweli.
ni lini Zanzibar walisema wanataka Muungano na Watanganyika ?
nashangaa Nyerere alivyokimbilia Zanzibar kufunga mkataba wa Muungano..
Mmesahau mlivyokua mkiingia Zanzibar kununua bidhaa ?
sasahivi hela za bandari ya Zanzibar mkusanye nyinyi, utalii mkusanye nyinyi, foreign exchange kutoka Zanzibar mkusanye nyinyi , misaada ya UN, FIFA iishie kwenu..
makusanyo hayo kutoka Zanzibar mnaingiza kwenye mfuko wa Muungano kuendesha miradi ya bara na Zanzibar kuambulia mazombie ya askari kutoka bara ili kuwadhibiti...
mmeizuia Zanzibar hata kujiunga na OIC ili isinufaike..
MBONA HAMUITISHI REFERENDUM ili Wazanzibar waamue kama wana hata shauku ya kuungana na machogo.
Kwenye bunge la katiba alisema anataka serikali tatu, ila wazanzibari muache unafiki mnajua wazi huu muungano unatetewa nakulindwa kwa jinsi ulivyo na CCM, inakuwaje kwenye uchaguzi kwa wingi wenu hamuipigi chini ikose majority?kwenye bunge la katiba ni alipiga makelele hayo hayo na baadae kwa sauti kubwa akaunga mkono ule uvundo wao. aache unafiki kama kweli ana la maana asingeunga mkono ule uvundo walioupitisha. Msitusimange wazanzibari hatuna haja wala shida ya centi zenu...wenye haja na hizo centi ni hao hao vibaraka wanaotumiliwa na ccm... mbona tunadai uhuru wetu siku nyingi mmegoma kutuachia...?
Kaka naomba ufafanuzi hivi machogo ndio kina nani na hili neno lina maana gani? Maana Mimi nawajuwa vitimbakwiri tuni lini Zanzibar walisema wanataka Muungano na Watanganyika ?
nashangaa Nyerere alivyokimbilia Zanzibar kufunga mkataba wa Muungano..
Mmesahau mlivyokua mkiingia Zanzibar kununua bidhaa ?
sasahivi hela za bandari ya Zanzibar mkusanye nyinyi, utalii mkusanye nyinyi, foreign exchange kutoka Zanzibar mkusanye nyinyi , misaada ya UN, FIFA iishie kwenu..
makusanyo hayo kutoka Zanzibar mnaingiza kwenye mfuko wa Muungano kuendesha miradi ya bara na Zanzibar kuambulia mazombie ya askari kutoka bara ili kuwadhibiti...
mmeizuia Zanzibar hata kujiunga na OIC ili isinufaike..
MBONA HAMUITISHI REFERENDUM ili Wazanzibar waamue kama wana hata shauku ya kuungana na machogo.
Bara tunanufaika nini na Zanzibar? sema tuukwani Zanzibar ina balozi ?
mnaodhani Zanzibar ni tegemezi kwa Tanganyika vunjeni Muungano..
Zanzibar ilikua na uchumi unaolingana na Mauritius..
ila baada ya bara kulazimisha mambo ya kiuchumi ya msingi ya Zanzibar kuingizwa kwenye Muungano ndio ikawa nuksi..
iachieni Zanzibar ijitawale..
mbona hamkomi kupeleka mazombie nyakati za uchaguzi eti muendelee kuifanya Zanzibar koloni..
Zanzibar kumejaa Watanganyika wanakusanya kodi na kuzipeleka bara lakini bara hakuna mzanzibari anaekusanya kodi na kupeleka zanzibar...
ni lini Zanzibar walisema wanataka Muungano na Watanganyika ?
nashangaa Nyerere alivyokimbilia Zanzibar kufunga mkataba wa Muungano..
Mmesahau mlivyokua mkiingia Zanzibar kununua bidhaa ?
sasahivi hela za bandari ya Zanzibar mkusanye nyinyi, utalii mkusanye nyinyi, foreign exchange kutoka Zanzibar mkusanye nyinyi , misaada ya UN, FIFA iishie kwenu..
makusanyo hayo kutoka Zanzibar mnaingiza kwenye mfuko wa Muungano kuendesha miradi ya bara na Zanzibar kuambulia mazombie ya askari kutoka bara ili kuwadhibiti...
mmeizuia Zanzibar hata kujiunga na OIC ili isinufaike..
MBONA HAMUITISHI REFERENDUM ili Wazanzibar waamue kama wana hata shauku ya kuungana na machogo.
Kwenye bunge la katiba alisema anataka serikali tatu, ila wazanzibari muache unafiki mnajua wazi huu muungano unatetewa nakulindwa kwa jinsi ulivyo na CCM, inakuwaje kwenye uchaguzi kwa wingi wenu hamuipigi chini ikose majority?
Niko Tanzania na najua kinachoendelea na tutaendelea kuwaelimisha unless mkajifungie chukwaaniwagagigi, post: 16362160, member: 263409"]siwezi kujibu hili swali ...inaonekana ama hupo Tanzania au huelewi/hufuatilii kinachoendelea. nahisi nitajipotezea muda wangu bure hapa.
Swali la maana sana hili japo watasema mfumo unabanaMsimamo wake ulikuwa ni upi kwenye Katiba ya Warioba.?
Quick response. Usitumie fallacy kumtafakali Ally Kessy. Bettry ya simu ikiwa mbovu nunua mpya weka kwenye simu.Ally Kessy aliunga mkono au alipinga Rasimu ya Katiba iliyotokana na Tume iliyoongozwa na Jaji Warioba? Mambo haya yalijadiliwa na kuchambuliwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba. MaCCM wakakataa rasimu ambayo ingekuwa dawa ya mapungufu anayoyaeleza Kessy. Sasa kuja kusema Wabunge kutoka Zanzibar wawe wanatoka nje wakati wa kujadili mambo ambayo si ya muungano ni upunguani.
Ama kweli mkosoaji wako hawezi kuwa rafiki. Angea wa oppostion usingemsemaOneni siasa ilivyokua mbaya.Kessy akiwashambulia Zanzibar kwa maneno makali kambi yake wanamshangilia.Hao wanao mshangilia Kessy ndio wanasema ooo muungano ulindwe kwa gharama yoyote.
Kessy ametumia lugha ya kuudhi nashangaa Mhagama hajasimama
Akiulizwa kesi kuhusu muungano anaweza akasema uvunjwe kwakua amesema wanatunyonya bara.
Kwamaneno ya Kessy nikwamba wabunge wote watokao visiwani hata mtu awe waziri,au mwenyekiti wa bunge akae kwenye wizara za muunganotu.Je nyie CCM waumini wa muungano mmemuelewa Kessy vizuri au mmeshangiliatu.
Mimi sio mzanzibar lakini huo ni ubaguzi,unyanyapaa,udhalilishaji na nilugha ya kuudhi.
Je huyo mwenyekiti hapo sibora angeondokatu
Mhagama kwani unapo lalamika lugha ya kuudhi maranyingi unamaanisha nini?Angekuapo Zungu angemtuliza Kessy maana angalau yeye anaweza kukemea