Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Thanks. Acha wafu wazikane wao kwa wao.

Huu utamaduni wa kishenzi una mizizi ndani ya CCM. Ni mapambano ya ndani kwa ndani: uncivil civil war. Wapinzani nao wamejeruhiwa na kusemewa mbovu. Leo Lissu anaitwa mlemavu kwa kejeli! Ni vigumu sana kutarajia ustaarabu katika mazingira haya - selectively.

Wastaarabu watabakia kuwa wastaarabu. Lakini endapo siasa za kishenzi zitaendelea kuzawadiwa na walioshikilia dola, wasema ovyo watazidi kuongezeka. Malalamiko yatakuwa suala la zamu.
 
Hakuna namna atasemwa kwa ubaya wake, na maovu mengi aliyotenda, hakuna kupumzishwa!!

Kwa nn Mwinyi, Mkapa au Kikwete asisemwe! Ubaya aliofanya kwa watu ndo umefanya watu hasira zisiishe,
This is simply incoherent.
 
Simple fact
Ukiwakataza watu kusema mabaya yako ukiwa hai"
Watayasema (without time frame) vibaya ukiwa marehemu
.. haihitaji rocket science to understand this...

Kiranga' hapa umechemka .
Nuance please.

Kwanza unaelewa kwamba sijakataza watu kumsema marehemu.

Nina vitabu vya Caligula, Hitler, Stalin,Pol Pot vinawasema kuhusu ubaya wao.

So, let's get that low hanging fruit clear first.

Sijakataza marehemu kusemwa kwa ubaya wake.

Mimi mwenyewe nishamsema Magufuli kw aubaya wake, baada ya kufa.

Umeelewa hilo kwanza?
 
Tusipangiane majukumu. Wewe shughulikia Katiba, sisi tuachie mtu wetu tuhangaike naye maana ameacha wajinga wengi sana.
Tatizo hata hilo jukumu la kuwa fix wajinga wengi sana hamliwezi.

Mnafikiri mnamshusha Magufuli kwa kumshambulia personally, wakati, kiukweli, kwa ku focus kwake personally, mnampandisha tu.

You are doing yourself a disservice.
 
Maandamano ni metaphor kwa action on the ground.

Watanzania wengi ni keyboard warriors mitandaoni, action on the ground ni zero.

Na ndiyo maana kina Kikwete wakaja na msemo kama "Ni upepo tu, utapita".

Kwa sababu wanajua Watanzania wana wingi wa maneno, hawana vitendo.

N ahili likiendelea, hakuna kitakachobadilika.

Hususana kama, hata hayo maneno wanamsema mfu, na katika ku focus kwa huyo mfu, rais aliye hai na mtandao wake wanaachwa.

There is an opportunity cost in this.

Tuliosoma uchumi tunajua.
 
U

Nadhani shida sio ccm kutawala shida ni viongozi wapuuzi wa haki za raia na katiba. Hawa lazina wasemwe, wabagazwe, wajihisi vibaya ila kama wamekufa watumiwe kama reference.
Shida yako ni nini hapo?
Kama unaona shida siyo CCM basi una shida zaidi.

Viongozi wabovu waliofariki wanatumiwa kama reference.

Hapa kwangu nina vitabu kemkem vya Caligula, Hitler, Stalin, Pol Pot, Idi Amin, etc.

Hivyo, hilo si suala geni.

Tatizo, wanachambuliwa kwa nuance? Wanajadiliwa kwa mtazamo wa kubadili policy? Kubadili institutions ili tusirudie matatizo?

Au wanasemwa "Magufuli was a wallking carcass" in a crude, hateful and vitriolic manner which does not add to institutiona changes, but just emotional ranting?
 
Wote hao hawajawahi kusema "Magufuli was a walking carcass".

Mimi mwenyewe nampinga Magufuli.

Lakini, napinga kumpinga kijinga kwa kusema "Magufuli was a walking carcass".

First of all carcasses don't walk, so that shit is oxymoromic.
 
Kwa nini hukupenda utawala wa shujaa‽
 
Aliyeelewa tusaidiane kueleweshana kwa maslahi mapana ya taifa!
Nimeona AC zinapepea hapo kwenye jukwaa la Kampeni wakati mweshimiwa anamwaga madini kwa wanyonge wake
 
Kheri huyu anasemwa akiwa mfu kwani hayasikii, Lowasa mlimsema maneno machafu machafu ya kila aina akiwa hai anayasikia, kwenu mlijiona mashujaa na utu wenu uliotukuka!
Lowasa hakuwa na mamlaka hivyo alilazimika kuyapokea matusi yote aliyotupiwa na viongozi wa CCM bila kujali kuwa Lowasa ni mtu mzima anayofamilia inayoumia inaposikia mume, baba na babu yao akiporomoshewa matusi ya mfu!
Naona kilichoandikwa kwenye mjadala huu ni muendelezo ulipoishia, kama kuikataa lugha hii mngeanzia kwa Lowasa.
 
Maiti waheshimiwe mkuu, muache mwamba apumzike japo sikuwa fan wake mkubwa ila ni kiongozi wetu na amesharudi mavumbini uache kejeli .
 
Lowassa tulimsema mimi na nani? Wapi? Weka ushahidi hapa.
 
Lowassa tulimsema mimi na nani? Wapi? Weka ushahidi hapa.
Ila hata marehemu Magufuli naye alimletea kiburi cha uzima Bwana Lowassa. Kule Tume ya Uchaguzi alijigamba yeye alipanda ngazi wakati Lowassa alitumia lifti. Jukwaani alikuwa anapiga push ups kuonesha yeye alikuwa fit (ana afya bora) kuliko Lowassa. Kile kilikuwa kiburi cha afya.
 
Kumbe alikuwa spana mkononi!
 
Tunajua unaishi ughaibuni, tunajua unajua kiingereza sana. Lakini kwa nini unatumia vimaneno vigumu sana?

Lengo la lugha ni mawasiliano.

Badilika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…