KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Tutaomba msaada wa Korona kwa hawa wengine tusiowaweza kwa njia nyingine.Spika...." Hata asipotaka tutamwongezea ... .Mh.Kesy nina imani sote tutarudi weka moyoni bunge lijalo tunamaliza..." mjengoni 9/6/20
Amefanikiwa kujenga hofu na kukidhiti chama.Ajabu karibu wabunge wote ccm wanatarajia hisani ya mkuu katika uteuzi.Ni aibu na fedheha wanavyomtukuza mkuu zaidi ya Muumba.
Corona ita tingisha tu lakini haitaondoa tatizo. Tatizo ni utawala mzima na dawa ni kuuondoa madarakani.Tutaomba msaada wa Korona kwa hawa wengine tusiowaweza kwa njia nyingine.
Ni kujiandaa na civil war!Wasithubutu kufanya huo upuuzi wanaofikiria
Kama viongozi wengine wakisiasa wanaogombea na kuchaguliwa hawana ukomo, kwanini cheo Cha Rais kiwe na ukomo?Spika...." Hata asipotaka tutamwongezea ... .Mh.Kesy nina imani sote tutarudi weka moyoni bunge lijalo tunamaliza..." mjengoni 9/6/20
Amefanikiwa kujenga hofu na kukidhiti chama.Ajabu karibu wabunge wote ccm wanatarajia hisani ya mkuu katika uteuzi.Ni aibu na fedheha wanavyomtukuza mkuu zaidi ya Muumba.
Ondoeni ukomo ila wekeni tume huru ya uchaguzi. Hapo hakuna atakayelalamikaKama viongozi wengine wakisiasa wanaogombea na kuchaguliwa hawana ukomo, kwanini cheo Cha Rais kiwe na ukomo?
Kama akipitishwa na Chama chake Aachwe agombee wananchi ndio tutaamua kumpa kura ya ndio au hapana.
Na hii ndio democracy, ni sheria zakidicteta kumzuia mtu kugombea. Hata kikwete, Mkapa nao wakitaka warudi wagombee tena. Wananchi ndio tutaamua kupitia sanduku la kura.
Unauwezo huo? Wakati umekaa huko kwa Mabeberu ukiosha vibibi vizee!Corona ita tingisha tu lakini haitaondoa tatizo. Tatizo ni utawala mzima na dawa ni kuuondoa madarakani.
Hili ndio jambo lamsingi lakuzingatia. Sio udicteta wakuzuia haki ya mtu ya kuchagua na kuchaguliwaOndoeni ukomo ila wekeni tume huru ya uchaguzi. Hapo hakuna atakayelalamika
Kwani ulimwondoa? Si mpaka amemaliza muda wake na Rais mpya ameshachaguliwa ndiyo amefariki kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu!Hata nkurunzinza alikuwa mbishi.
Il kwa kawaida madaraka ni matamu sana. Hao wote wanajingalia ili kulinda vyeo vyao.
Tume huru ndiyo ikoje?Ondoeni ukomo ila wekeni tume huru ya uchaguzi. Hapo hakuna atakayelalamika
Uko sahihi..kata kipindi Magufuli anagombea ubunge. Alianza kwa kupigwa chini mpaka alipogundua formula ya kuwanunua wapinzani wake theni anapita bila kupingwa. In short magu hawez torolate any kind of competition.Kwa utukufu aliopewa mkuu huenda hata uchaguzi usiwepo wagombea nafasi urais watafika bei, na wabishi watakiona,patafanyika chaguzi wabunge na madiwani wachache ushahidi democrasia!! Vyama washirika ccm.
Angalizo wapambe wa mkuu acheni hizo kumjaza ujinha, tutajuta pamoja. JPM kafanya kazi kubwa Misingi miradi uti wa mgongo uchumi wa kati, kujenga msingi sio kazi ngumu, mtihani kumalizia.
Watz wanamachungu na magumu mengi, tusipowapoteze Jumuia ya kimataifa tutajuta na miradi mingi kusimama.
Mfano sector afya ni kweli yapo majengo mengi ila vifaa na wahudumu wa kutosha na wenye motisha bado!Thamani ex ray pekee yaweza kuzidi Majengo zahanati.
Andika kwa kiswahili tu mkuu kiingereza kinakupiga chenga!Uko sahihi..kata kipindi Magufuli anagombea ubunge. Alianza kwa kupigwa chini mpaka alipogundua formula ya kuwanunua wapinzani wake theni anapita bila kupingwa. In short magu hawez torolate any kind of competition.