Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
OhoooooAsipoondoka kwa KATIBA ataondoka Kupitia Mochwari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OhoooooAsipoondoka kwa KATIBA ataondoka Kupitia Mochwari
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Magufuli atakua Raisi mpaka 2040
Hakuna wa kumzuia ,Songa mbele JPM
Magufuli atakua Raisi mpaka 2040
Hakuna wa kumzuia ,Songa mbele JPM
Imeisha hiyoKuna watu wapo kwenye system sababu ya kusifu ti mtukufu. Wanajua mtukufu wao akitoka tu, basi na wao wameisha. Iyo ndyo hofu yao kubwa.
Kweli kabisa. Mungu ana mengi.Mwacheni aongezewe muda!!Mungu ana mengi sana ya kupanga kumhusu!!ngoja tuone!!
MxieusssszzzzRIP shujaa Mgufuli.
Mbona yamekamilika
Hata sielewi kabisa.. Kwanza huyo mbunge anaitwaje nikumbushe niunganishe dotsMbona yamekamilika
Huyo ni Kessy, mbunge aliyepeleka hoja bungeni kuwa Jiwe aongezewe muda wa kuwa madarakani hata endapo atakataa, basi alazimishwe.Hata sielewi kabisa.. Kwanza huyo mbunge anaitwaje nikumbushe niunganishe dots
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app