Ama kweli siasa ni sayansi, ametulizwa kwa kupewa ubosi TLS

relax bana,
huna haja kua na pressure ikiwa siasa ni taaluma yako,
unababaika pasipo sababu, unajichosha bure tu πŸ’
Huko kujichekesha chekesha huku ukiungua ndani kwa ndani, ndilo gonjwa hilo linalokusibu. Ni kwa vile hujitambui tu!
 
Huko kujichekesha chekesha huku ukiungua ndani kwa ndani, ndilo gonjwa hilo linalokusibu. Ni kwa vile hujitambui tu!
unaumia?🀣

kwasababu unachekesha sana aise πŸ’
 
unaumia?🀣

kwasababu unachekesha sana aise πŸ’
kamwambie aliye kutuma kazi hii ngumu huiwezi.
Alidhani hivyo vi-'pychology' vya kutumia "lugha ya staha' vitakusaidia hapa; kamwambie watu washajuwa hadaa zote mnazotumia..
Niktizama hiyo 'avatar' yako tu, inatosha kujuwa ulivyo pungukiwa kichwani mwako.
 
kumbe lugha ya staha ninayoitumia inakukera ee🀣

halafu mie mbona naona ni lugha ya kawaida tu aiseπŸ’

nilitamani unifundishe namna ya kupanic na kua na mihemko, then kuyaporomosha kama wewe ila muda ndio sina sasa, dah πŸ’
 
Jamaa kuwa Rais wa TLS amekuchoma sana maana naona huko background unagugumia maumivu
namuonea huruma utakavyoaanza kumporomoshea yale ya nguoni ya nguvu katika muda mfupi ujao πŸ’
 
Mkishindwa kufanya ushetani wenu huwa mnakuja na mbinu mpya, ila hakuna atakae waunga mkono
 
kumbe lugha ya staha ninayoitumia inakukera ee🀣

halafu mie mbona naona ni lugha ya kawaida tu aiseπŸ’

nilitamani unifundishe namna ya kupanic na kua na mihemko, then kuyaporomosha kama wewe ila muda ndio sina sasa, dah πŸ’
Hapana. Lugha ya staha hainikeri hata kimoja; kinachokera ni hadaa inayotumika nyuma ya hiyo lugha ya staha. Kumbe hata huelewi ninacho kueleza?

Ukitumia lugha ya staha kwa ukweli wake nani atakuhangaisha na hilo.
Unafiki, uzandiki, hadaa, na kila aina ya udanganyifu nyuma ya lugha ya staha ni upuuzi mtupu.
 
Mkishindwa kufanya ushetani wenu huwa mnakuja na mbinu mpya, ila hakuna atakae waunga mkono
Walifikiri watu hawataelewa kuwa ni hadaa zinazofanyika huku lengo lilkiwa ni lile lile la ukandamizi.
Sasa wanashangaa njia zao za ulaghai zimekataliwa, sijui watarudi vipi kwenye zile njia za ukandamizi ili kufikia wanayo yataka wao kubaki madrakani.
Wakirudi kwenye ukandamizaji, safari hii wataliamsha la waTanzania. Na hata uwezo huo hawana tena.
 
Usikute ndo maana walikata jina lake ili asigombee
 
Try to be positive about people. Don't destroy yourself for being negative because the measure you use to fault others it is the measure that will be used to fault you.
 
Kwa ushindi wa Mwabukusi, tumewafahamu machawa wote.
Wametoka mashimoni, wanamaumivu balaa.
 
Tlaa tlaa umelowana upo ndembendembe chaliii naona Kajunjumele Mwabukusi kakulegeza macho kama umekula kungu angalia kijana usijeishia kusomwa jicho la tatu
 
Try to be positive about people. Don't destroy yourself for being negative because the measure you use to fault others it is the measure that will be used to fault you.
don't panic, relax gentleman,

this is political forum, you must know its implications and contradictions πŸ’
 
Tlaa tlaa umelowana upo ndembendembe chaliii naona Kajunjumele Mwabukusi kakulegeza macho kama umekula kungu angalia kijana usijeishia kusomwa jicho la tatu
jiandae kuanza kumporomoshea yale mazito mazito soon later gentleman πŸ’
 
Huyu naye atakuwa analipwa mshara na serikali naomba kujua hilo??
kupitia kodi yako na yangu,
napata huduma safi za maji safi na salama, huduma bora za afya, umeme, ulinzi na usalama n.k

ile ingine ni posho ya kujikimu tu kwa ile kazi ya wanainchi ambayo naifanya kwa bidii sana usiku na mchana kwa maslahi mapana ya waTanzania wote πŸ’

bilashaka yoyote,
Boss mpya wa TLS atafuata nyayo za adv.Lisu na Fatma πŸ’
 
Kwa ushindi wa Mwabukusi, tumewafahamu machawa wote.
Wametoka mashimoni, wanamaumivu balaa.
nidhamu na heshima ni kitu cha bure, heshimu mawakili wa Tz, heshimu uamuzi wao πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…