Ama kweli siasa ni sayansi, ametulizwa kwa kupewa ubosi TLS

Nataka tu ujue moja, na usinihangaishe tena kwa hilo. Ninapoona takataka, sina simile juu ya hiyo takataka. Uwezo wa kutenganisha takataka na mambo mazuri ninao sana. Hiyo taaluma unayoizungumzia hapa ni taaluma ya taka.
tuliza mihmko bas 🀣

hujawahi kua na mawazo mapya wala fikra mbadala dhidi ya hoja nzito na muhimu zinazowasilishwaga humu jukwaani,

utajiri ulionao ni mihemko tu isiyo na maana yoyote πŸ’
 
tuliza mihmko bas 🀣

hujawahi kua na mawazo mapya wala fikra mbadala dhidi ya hoja nzito na muhimu zinazowasilishwaga humu jukwaani,

utajiri ulionao ni mihemko tu isiyo na maana yoyote πŸ’
Na bado hutaki kuelewa, hicho ndiyo kiasi cha ukilaza ulicho nacho. Nakufahamisha tena, kwamba ninapoona takataka toka kwako ni lazima nizishughulikie kama takataka. Umeelewa sasa?
 
Na bado hutaki kuelewa, hicho ndiyo kiasi cha ukilaza ulicho nacho. Nakufahamisha tena, kwamba ninapoona takataka toka kwako ni lazima nizishughulikie kama takataka. Umeelewa sasa?
huna uerevu wowote gentleman πŸ’

unachoweza ni mihemko, dhihaka na kujipa umuhimu ambao completely huna 🀣
 
Maneno ya mkosaji.
 
Watu wanatembea na roho za wengine.
And who told you Mwabukusi was intending to kugombea urais?

Hebu acheni kuzima taa za watu.
 
Mmezoea vya kunyonga, vya kuchinja hamviwezi, Mmepigana vita mmeimaliza... ubaya tu ni kwamba hamtapumzika kwa amani kwa yule Bwana!!
 
ya mtu aliekurupuka kutoka usingizini dah πŸ’
Kijana huwa unaandika vitu visivyoeleweka muda mwingi.Na hili linatokea kwa sababu mbili-tatu.Moja ni kupuuzwa.Na mbili ni kutoeleweka kwa kutojua kuandika kwa mvuto kwa msomaji kuliko kosa hoja imara.Mwisho,huwa unajionesha ni ngedere mkata umeme wa SGR.
 
Watu wanatembea na roho za wengine.
And who told you Mwabukusi was intending to kugombea urais?

Hebu acheni kuzima taa za watu.
kuamini ushirikina nayo ni mzigo mzito sana kuubeba na kutembea nao kwenye majukwaa yenye maoni na mitazamo ya kitaaluma na kitaalamu kisiasa. ni muhimu sana kurelax πŸ’
 
Hili jamaa wewehaulijuaungekaa kimya. Hapo ndi kaingeza milage
 
Mmezoea vya kunyonga, vya kuchinja hamviwezi, Mmepigana vita mmeimaliza... ubaya tu ni kwamba hamtapumzika kwa amani kwa yule Bwana!!
kwamba boss mpya wa TLS anaenda kunyongwa kama marais wa TLS wa zamani Lisu au F.karume, right?πŸ’
 
Nyie ndio mnamfanya mama mjinga humu mitandaoni Kila siku!

Huyo jamaa kasema wazi atapigania Katiba mpya!na katiba mpya ni agizo kwa Mama kabla hajapewa uskani,yeye akaamua kuharibu Kwa kuendekeza mitano tena!!

Kufeli Kwa mama kuhusu Katina mpya ndio kumemuibua na Hilo ni pigo kwetu CCM,kwamba hatuaminiki Tena kuhusu katiba!

Huyo jamaa atalindwa na jamhuri na move zake zitakua na impact Kwa chama chetu Tena tunaumbuka!

Sasa tuna marais wawili mmoja anaungwa mkono na wapinzani na atapigania katiba mpya ambayo Dola iliamini sisi ndio tutaitengeneza!

Ni aibu kwetu!

Ngoja uone!
 
hebu eleza vizuri tena gentleman, kwa namna nyingine πŸ’
 
Ni viumbe wa Mungu.Akiona na komenti nyingi anadhani ana kitu kichwani kumbe bure beleshi. Prrrrrr!
mofilisi mnapeana moyo baada ya kukosa mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja nzito mezani dah 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…