Kila anaesema ukweli ni stori za madrasa.stor za madrasa
🚮Kila anaesema ukweli ni stori za madrasa.
Hiyo Israel kafuatilie mpaka bajeti ya nchi inatoka USA zaidi ya $5 billion ya ulinzi pia inatoka USA .
Oktoba 7 hamas ilipovamia US navy walileta manowari tatu na askari maji zaidi ya 2000 ghuba ya middle east kuisapoti Israel.
Hiyo Israel unayoisifia narudia tena haina ubavu bila mabwana zake na yeye huonea wanyonge tu ila mwenye ubavu wa kumpinga hathubutu mathalan Hizbollah Lebanon na Iran.
Rwanda ipo overrated sana. Jeshi la Rwanda kamwe haiwezi kulifikia jeshi la DRC. Ni vile kanuni za kimataifa zinawabana ila wakimuamulia kibabe hatoboi.Sizungumzii uchumi,nazungumzia watu wakiamua kukinukisha,yaani Rwanda hapatakalika,vurugu nchi nzima
Mukiambiwa muwe wadadavuzi na wapembuzi huwa hamuelewi.
Kama unaona ni Israel tu inayopambana basi umebeba buyu tu juu ya mabegaIsrael ni kama njombe lkn shughuli yake wavaa kobazi wanaijua vzr
Nimemletea na ushahidi toka chanzo cha wazungu wenyewe.Kama unaona ni Israel tu inayopambana basi umebeba buyu tu juu ya mabega
Kwani wewe unawaona nani?Kama unaona ni Israel tu inayopambana basi umebeba buyu tu juu ya mabega
🚮Mukiambiwa muwe wadadavuzi na wapembuzi huwa hamuelewi.
View attachment 2921800View attachment 2921801View attachment 2921802View attachment 2921801View attachment 2921802
Nawaona wanawapa silaha na fedha na kuwasaidia intelijensiaKwani wewe unawaona nani?
Ishapenya shukran na karibu tena
Nimesoma na wale jamaa sijaona akili kubwa hata upunje mkuu,bali nimeona inferiority complex inawasumbua wale jamaa na wana ile hurka ya maskini akipata makalio hulia mbwata.Watusi ni akili kubwa
Rwanda hata hela yake ina thamani kuliko ya kwetuAlicho badili ni kipi Rwanda, kujenga vimajengo Kigali au??
Putin ashindwe kuweka democracy urusi hlf alete democracy DRC , hv waafrika mlilogwa na nan ? miaka ya 1990 mlisema USA analeta democracy yake huku AFRIKAHapa itatokea moja kati ya hayo mawili.
M 23 wakishindwa kuiteka Sake na Goma,jeshi la SADC litakwenda Ikulu Kigali.
Mpaka sasa jeshi la SADC ndio lina nafasi nzuri ya kushinda. Lina uwezo mkubwa,pia linasaidiwa na Urusi.
Mambo wanayofanya M 23 siyo Democratic,kwa hiyo nadhani Warusi wanataka kuhakikisha kuwa inakuwepo democracy Kongo.
Kwa hiyo Warusi wanataka kuleta....er...Russian Democracy katika nchi ya DRC.
so whaat?! Maisha ya Rwanda ni bora kuliko bongo??Rwanda hata hela yake ina thamani kuliko ya kwetu
Urusi ipi hiyo unaiongelea?Mpaka sasa jeshi la SADC ndio lina nafasi nzuri ya kushinda. Lina uwezo mkubwa,pia linasaidiwa na Urusi.
Mambo wanayofanya M 23 siyo Democratic,kwa hiyo nadhani Warusi wanataka kuhakikisha kuwa inakuwepo democracy Kongo.
Acha Ufala, sisi hatuna specie hizo huku, na wahutu walau wanajielewa ndo maana utashangaa hata serikalini mifumo inawanutralize Watusi kuliko wahutu hapa Tz you know why? You are foolsTatizo wahutu mnaongea sana
Yaani humu tunawajua woteKawaida yenu kila anaewapinga mnamwita mtutsi.
TunawaoaKwahiyo hamuoi kwetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]