Amani imetoweka moyoni mwangu, Co Worker wa kiume na mke wangu wapo karibu sana, nichukue uamuzi gani?

Wewe kama ni mkristo ( huwezi vunja ndoa) nakushauri fuata mambo yako as longer as dharau haipo nyumbani.. ila kama ni mwalimu wa madrasa basi weekend hii nicheki nikupeleke Vikindu tukachukue mke bro.
 
Huyo mtoa taarifa wako ni kisirani na si ajabu yeye ndo anamkula uyo mkeoo, dume zima umbea tu
 
chunguza kwanza kwa makini na usifanye anything stupid
 
Nilishabonda lidada core worker mke wa mtu,ule ukaribu tulijikuta tumelambana, ningefanyeje sasa, toa ni kifungo
 
Ngono ni Tabia. Ukimukwamisha kwa huyo ko weka atakwenda kwa mwingine. Mshauri tu awe anatumia Kinga ili asikuambukize magonjwa. Kula tu na mwenzio.
 
Tanzania tutakuwa na uhaba mkubwa sana wa vijana! Hivi mke naye amekuwa wa kuchungwa kama mbuzi? Mwishowe utaamua sasa kumfungia ndani kama kuku!
 
Ukute li informer lenyewe hata halina mke! Pumbavu kabisa! Hili janaume nalo takataka kabisa! Unamwekea mkeo wapelelezi? Unazifahamu nia ovu za hao mashushsu? Watakuharibia ndoa bure!
 
Ndoa yako inaongozwa na huyo informer wako mkuu, waza kwa sauti asingekuepo si ungekua na amani tu.....mimi kitu nimejifunza kwenye ndoa ni kukaa mbali na kitu chochote kitakachonikosesha amani ya moyo, bad enough mwenzangu aendelee kuenjoy mimi nikae nalia....nefa[emoji1787] nikiona simu kabla sijashika najiuliza hivi baada ya kupekua hii simu nani atalia..mimi au yeye?! Nikijua ni mimi naiacha mahala pake naendelea kunywa pepsi
 
"Napata mashaka zaidi maana haiwezekani mtu uwe nae karibu msiwasiliane, Nahisi mke wangu ana simu ya pili ama kanizidi ujanja wa teknolojia kuficha mawasiliano maana anajua naijua password yake"

Presha zote hizi 👆👆za nini??

Jifunze kuwa mtulivu katika changamoto.

Fanya utafiti bila kukurupuka.

Halafu siyo kila kitu unakichukulia personal.

Iwapo mkeo ana chepuka hilo siyo tatizo lako bali ni la mwanamke

Iwapo utathibitisha pasina shaka kwamba mkeo amenogewa basi na wewe tafuta mpenzi mwaminifu ruka naye.

Maisha ni mafupi sana kuanza kulizana kisa penzi.

Wanawake wapo kibao.

Kwanini uumize kichwa kwa mambo yasiyo na kichwa?

Maaumuzi ya maisha yako yapo mikononi mwako na siyo kwa mke wako.
 
Hembu piga mimba za fasta kwanza mchakaze.

Kuna mwamba mmoja alioa demu mkali na demu kwao mambo safi.

Mwamba ni ticha tu.

Alijua Yuko league tofauti sana so solution mwamba akapiga mke mimba Tano za fasta yaani bandika bandua time range ni mwaka mmoja na nusu.

Halafu akachiili[emoji2]
 
Huyo Rafiki yako Ni wa kike au Wa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…