Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Hapana sio kwamba n sugu Ila nikiona watu wanavolia khs mapenzi na jinsi navojijua aisee hayo mambo sitoyaweza kwa kwelUmekua sugu sasa
Yalikunyosha sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sio kwamba n sugu Ila nikiona watu wanavolia khs mapenzi na jinsi navojijua aisee hayo mambo sitoyaweza kwa kwelUmekua sugu sasa
Yalikunyosha sana mkuu
Mm tukio la kwanza then la pili aisee hua naona mapenzi sio kwa ajili yanguUsilie kwa sauti sasa
chunguza kwanza kwa makini na usifanye anything stupidCo-worker ni mtu mnaefanya nae kazi
Ni kwamba nina informer/ mpelelezi ambae ni rafiki yangu wanafanya kazi sehemu moja na wife.
Recently kuna jamaa kaletwa hapo kutoka mkoa mwengine na wamekuwa close sana na mke wangu, details nilizopata ni walisoma chuo kimoja mke wangu akiwa mwaka wa kwanza na huyo mwengine akiwa wa tatu.
tukiwa nyumbani sijawai kuona yupo bizi anachat na huyo jamaa ama simu zinaita anazokata ama kuongelea nje, nadhani bila mpelelezi wangu nisingejua chochote.
Huko kazini wamekuwa team hupenda kuongozana wao wawili kufatilia ishu za benki, manunuzi, kufatilia wateja wa shirikika, kwenda lunch, n.k. huwa wanatumia gari ya jamaa. hili niliwahi kulihakikisha mwenyewe mara mbili.
Kuna siku nilichukua simu yake kimya kimya nikasechi namba ya huyo jamaa niliyopewa na informer, Huwezi amini mara ya mwisho kwenye meseji za kawaida na whatsaoo lakini nilitahamaki chats zao ni chache sana na chats za mwisho zina wiki na ni mambo ya kikazi tu, nikasechi sechi jina la huyo cowrker na message zingine hata alizosevu majina ya ndugu ila sikuambulia kitu, Napata mashaka zaidi maana haiwezekani mtu uwe nae karibu msiwasiliane, Nahisi mke wangu ana simu ya pili ama kanizidi ujanja wa teknolojia kuficha mawasiliano maana anajua naijua password yake,
Najua fika kwa jinsi tulivyo wanaume hapo kuna mambo ya ziada yanaendelea.
Niwe mkimya niendelee kukusanya data nipate ushahidi huku nachohisi kikiendelea kikishamiri ? Nimwambie mke wangu kwamba akae mbali na huyo co worker ? Nimwachishe kazi ? Niende kum confront huyo mwenzake ? Nikubaliane na hali nikaushe ? Niachane na mke ? Niwashirikishe ndugu wa mke wanisaidie,,,,,,,,,,,,,,
NICHUKUE UAMUZI GANI WENYE HEKIMA NA BUSARA?
Ngono ni Tabia. Ukimukwamisha kwa huyo ko weka atakwenda kwa mwingine. Mshauri tu awe anatumia Kinga ili asikuambukize magonjwa. Kula tu na mwenzio.Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi
Ni kwamba nina informer/ mpelelezi ambae ni rafiki yangu wanafanya kazi sehemu moja na wife.
Recently kuna jamaa kaletwa hapo kutoka mkoa mwengine na wamekuwa close sana na mke wangu, details nilizopata ni walisoma chuo kimoja mke wangu akiwa mwaka wa kwanza na huyo mwengine akiwa wa tatu.
tukiwa nyumbani sijawai kuona yupo bizi anachat na huyo jamaa ama simu zinaita anazokata ama kuongelea nje, nadhani bila mpelelezi wangu nisingejua chochote.
Huko kazini wamekuwa team hupenda kuongozana wao wawili kufatilia ishu za benki, manunuzi, kufatilia wateja wa shirikika, kwenda lunch, n.k. huwa wanatumia gari ya jamaa. hili niliwahi kulihakikisha mwenyewe mara mbili.
Kuna siku nilichukua simu yake kimya kimya nikasechi namba ya huyo jamaa niliyopewa na informer, Huwezi amini mara ya mwisho kwenye meseji za kawaida na whatsaoo lakini nilitahamaki chats zao ni chache sana na chats za mwisho zina wiki na ni mambo ya kikazi tu, nikasechi sechi jina la huyo cowrker na message zingine hata alizosevu majina ya ndugu ila sikuambulia kitu, Napata mashaka zaidi maana haiwezekani mtu uwe nae karibu msiwasiliane, Nahisi mke wangu ana simu ya pili ama kanizidi ujanja wa teknolojia kuficha mawasiliano maana anajua naijua password yake,
Najua fika kwa jinsi tulivyo wanaume hapo kuna mambo ya ziada yanaendelea.
Niwe mkimya niendelee kukusanya data nipate ushahidi huku nachohisi kikiendelea kikishamiri ? Nimwambie mke wangu kwamba akae mbali na huyo co worker ? Nimwachishe kazi ? Niende kum confront huyo mwenzake ? Nikubaliane na hali nikaushe ? Niachane na mke ? Niwashirikishe ndugu wa mke wanisaidie,,,,,,,,,,,,,,
NICHUKUE UAMUZI GANI WENYE HEKIMA NA BUSARA?
kooooooNyooooo
Same here, maisha ni mafupi mno its very unwise kukomaa na vitu its obvious huviwezi....Mapenzi yanawaumiza sana, mm nlishanyanyua mikono juu mapenzi siyawezi aisee
Ukute li informer lenyewe hata halina mke! Pumbavu kabisa! Hili janaume nalo takataka kabisa! Unamwekea mkeo wapelelezi? Unazifahamu nia ovu za hao mashushsu? Watakuharibia ndoa bure!Kama hujazaa nae mtwange talaka ili uishi maisha huru,kama umezaa nae,chunguza kwanza,ukipata ushahidi kamili mtwange talaka,
Kingine wewe unaonekana humuamini kabisa Mkeo na ndio maana ukamuwekea informer,na huyo informer wako hana akili,unawezaje kumchunguza mke wa mtu kisha unapeleka habari kwa mumewe? Huna kazi za kufanya?
hebu ondoa huu u-kiazi na ushamba wakoCo-worker ni mtu mnaefanya nae kazi
michepuko wanapataka, wakupe mimba na huyo jamaa uilee na mtoto unapewa.Mpe mimba, mimba tena, tena tenq
Huyo Rafiki yako Ni wa kike au Wa kiumeCo-worker ni mtu mnaefanya nae kazi