Ambao tunakesha leo - karibu hapa tuzogoe ☺️

Wampe hata vumbi nguvu zikikata 😹😹
Hawana namna, haka kakiungo ketu kanavyokuwaga na mizuka halafu kasipate dyudyu na unaliona hapo, ni ngumu sana.
Dr mwaka sifa tu.
Si umeona ss hivi queen alivyodamsh anapelekewa dyudyu zima zima bila kupunjwa 😹
Amependeza mwenyewe, najua lazima amejichukulia kakijana ka alfu mbili kanamsugua haswa haswaa!
 
Huku kwetu, huyu ni ndugu yangu kabisa, maana hata ubini tunatumia m1.
Ila angekua mtoto wa shangazi, nisingeogopa, ila mtoto wa baba mdogo ni ndugu kabisa huyu.
Nyie mtakulana, ni swala la muda tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…