Ambao wameoa mwanamke daktari naomba kujua raha na karaha

Ambao wameoa mwanamke daktari naomba kujua raha na karaha

Habari za muda huu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kujua changamoto za kuoa mwanamke ambaye ni daktari kabla sijachukua maamuzi, daktari nikimaanisha Medical Doctor (MD).

Karibuni
Hili swali umeuliza kanakwamba kuna formula ya mapenzi!

Atakayekushauri itatokana na uzoefu wake ambao hauna kanuni wala vigezo unavyovipenda wewe.

Ma MD wawili ukiwaweka pamoja hawawezi kupimika katika mzani mmoja kitabia, haiba na wala kimaadili.

Kwanini usichukue maamuzi kwa vigezo vyako bhana?

Mbwa akipigiwa miluzi mingi kutoka maeneo mbalimbali kwa wakati mmoja huchanganyikiwa asijue pa kuelekea.
 
when you have someone with medical knowledge ia alway a plus

Having someone with medical knowledge is always a plus. But on the other hand, you’d better hope she’s a God-fearing woman—because she has a thousand ways at her disposal to give you a 'natural' death, if you know what I mean.
sorry naomba uni-dadavulie hii sentence ndugu yangu, please
 
Sikuwahi kubahatika kumwoa MD isipokuwa kudate naye

Have dated MD wa kike almost 2 good years

Hawana tofauti na Wanawake wengine isipokuwa kiburi na majivuno off which Sina uhakika na madaktari wengine wa kike kama wapo hivyo

U-busy busy (usiwe na wivu, anaweza kupigiwa simu Kuna mgonjwa na akakimbia faster kwenda kutoa huduma) 🙌

Ilikuwa akipata nafasi ya Kuja kunisalimia, alihakikisha nam-fuvk Siku nzima hadi chakula anafanya kuagiza tu na boda
Vipi aliolewa?
Kama ndio hampashagi viporo?
 
Same tu me ....Yan wanajiona ka Wana ka Dunia kao flan iv...
 
Back
Top Bottom